😂😂😂😂😂😂😂👇👇Tupe takwimu za TRA
Fake
GDP hujui hata maana yake unapuyanga tu hapa!Memkwa una uelewa mdogo sana.
Since then Dom imekuwa manispaa the same to Mwanza.
Kwa nini Manispaa ya Mwanza haikuwa Jiji Toka 1970 hai miaka ya 2000 ndio ikawa Jiji?
Mwisho unadhani Kwa nini Dom HQ imezidi Uchumi hiyo slums yenu ya Mwanza?
Nisikia tumbili mmja anasema Mwanza Ina GDP kubwa,fine do people eat GDP? Serikali inahitaji pesa au GDP?
Dom HQ imepita mbali sana kimapato hiyo slum yenu ya mafukara both in terms of TRA,Council Own Source 😁😁
GDP inapimwa kwa mkoa au Kanda ....Tanzania hatuna GDP ya miji ,majiji.Thread inahusu Dom City vs Mwanza City sio Dodoma RC vs Mwanza RC usitafute kichaka cha kujifichia😂😂GDP hujui hata maana yake unapuyanga tu hapa!
Wewe ni mtu wa hovyo sana unajidai kujua kila jambo!
Tufanye kweli,Mwanza ilikuwa Jiji mwaka gani na by the time ilikuwa na GDP ngapi? Weka hapa dataGDP hujui hata maana yake unapuyanga tu hapa!
Wewe ni mtu wa hovyo sana unajidai kujua kila jambo!
GDP inapimwa kwa mkoa au Kanda ....Tanzania hatuna GDP ya miji ,majiji.Thread inahusu Dom City vs Mwanza City sio Dodoma RC vs Mwanza RC usitafute kichaka cha kujifichia😂😂
Geita Ina pesa nyingi kuliko dodoma 😁😁😁View attachment 3274989
Pato la Jiji la dodoma (GDP) Ilikuwa ni trillion 1.8 sawa na GDP ya wilaya ... very low ukilinganisha hata na wilaya ya nyamagana
Kuna data currently za 2023 achana na hizo za zamani Wacha uvivu.View attachment 3274989
Pato la Jiji la dodoma (GDP) Ilikuwa ni trillion 1.8 sawa na GDP ya wilaya ... very low ukilinganisha hata na wilaya ya nyamagana
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 Nimecheka kama mwehu eti fake baada ya kupigwa za Uso 🤣🤣Fake
Pesa gani hizo? Umeona Geita hapa kwenye list? Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023Geita Ina pesa nyingi kuliko dodoma 😁😁😁
Labda kama huna report ya kutosha👇😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 Nimecheka kama mwehu eti fake baada ya kupigwa za Uso 🤣🤣
Sijui utapeleka lawama wapi maana hata TRA wenyewe hawahusiki na umaskini wenu wao kazi Yao ni kukusanya pesa .
Sawa lakini hata Songwe ni poor Ina inakusanya Mapato kuzidi Mwanza 🤣🤣Labda kama huna report ya kutosha👇View attachment 3275198View attachment 3275199
Kondoa wilayani ni matajiri kuliko hapo unapopaita jijiniSawa lakini hata Songwe ni poor Ina inakusanya Mapato kuzidi Mwanza 🤣🤣![]()
Dom ni poor huko Wilayani ila sio Jijini
Kwa hiyo ukienda Kondoa utakuta ni town kuliko Dom HQ si ndio 😆😆😆😆😆Kondoa wilayani ni matajiri kuliko hapo unapopaita jijini
Watu bhana eti Dodoma ni kama demu Malaya linajichetua na linaonekana limevaa vizuri kumbe halina Hela.Labda kama huna report ya kutosha👇View attachment 3275198View attachment 3275199
Mwanza inazidiwa Mapato n Dom both TRA and Own Source 😁 😁Watu bhana eti Dodoma ni kama demu Malaya linajichetua na linaonekana limevaa vizuri kumbe halina Hela.