Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Memkwa una uelewa mdogo sana.

Since then Dom imekuwa manispaa the same to Mwanza.

Kwa nini Manispaa ya Mwanza haikuwa Jiji Toka 1970 hai miaka ya 2000 ndio ikawa Jiji?

Mwisho unadhani Kwa nini Dom HQ imezidi Uchumi hiyo slums yenu ya Mwanza?

Nisikia tumbili mmja anasema Mwanza Ina GDP kubwa,fine do people eat GDP? Serikali inahitaji pesa au GDP?

Dom HQ imepita mbali sana kimapato hiyo slum yenu ya mafukara both in terms of TRA,Council Own Source 😁😁
Wewe ni kilaza tu ndo maana haujui maana ya GDP na Tax Revenue ndo maana Sirari,mtukula.namanga au tunduma haya maeneo yanaweza kufanya mikoa ikaonekana inakusanya kodi kubwa kumbe hiyo kodi haitokana na biashara ndo maana hiyo mikoa GDP inaendelea kuwa ndogo haya maeneo ni kama mawakala wa serikali.Mfano Mwingine Mwanza kuna viwanda vingi kama coca cola,breweries (Tanzania breweries&Serengeti ),Pepsi,Sayona steel,Nyakato steel,Songoro boatyard,Prince medical n.k hivi vyote kutokana na sheria kuna kiwango furani cha mlipa kodi lazima registration ifanyike makao makuu(Dar) ndo maana unaweza kuona Mwanza kodi ndogo lakini GDP kubwa maana yake ni kwamba shughuri zote za uzalisha zinafanyika eneo husika kama wafanyakazi wanapata kazi,usafirishaji,malighafi,pato la halmashauri lakini huwezi kuta halmashauri inaenda pale Tunduma au Namanga kuomba kodi.Nadhani umeelewa tofauti ya kati ya GDP na Tax Revenue.Mfano mwingine ni Geita na Shinyanga ina migodi mikubwa duniani au afrika na inalipa kodi kubwa lakini watu wake wanaendelea kuwa masikini miaka yote ni kwasababu hii mikoa ni mawakala wa serikali kuu hizo kodi ndo zinaenda kujenga Dodoma,Dar,Arusha Zanzibar na kuacha mashimo Geita na Shinyanga na kuacha watu wake wanakufa kwa kansa kila kukicha🤣🤣🤣.
 
Jibu maswali yangu hizi hadithi za kijinga hazita kusaidia Kwa Sasa.
 
Kama ujanielewa basi wewe ni kichwa maji,wewe ni mjuaji wakati huo ni empty
kabisa.Kwa akili yako basi Dodoma ndo mkoa tajiri Tanzania kwa kigezo cha kukusanya Kodi.🤣🤣🤣
Jibu maswali yangu blaa blaa hazitaksaidia wewe kilaza
 
Ndo maana nimekujibu kitaalamu ili kukuandaa ndo nikujibu.Kwanza elewa Dodoma kuifikia Mwanza kiuchumi ni ndoto sio leo wala kesho,pili Mwanza imekuwa jiji kwa vigezo sio kisiasa kama Dodoma hiyo 1970s ilikuwa bado haina vigezo,Tatu wewe ni mjinga kwasababu mpaka leo haujui kama Mwanza ndo mkoa wenye GDP kubwa baada ya Dar pia ujui nini maana ya GDP na mausiano yake kwa watu.Mwisho Acha kubisha ila jenga hoja kwa malengo ya kujifunza.
 
Kama ujanielewa basi wewe ni kichwa maji,wewe ni mjuaji wakati huo ni empty
kabisa.Kwa akili yako basi Dodoma ndo mkoa tajiri Tanzania kwa kigezo cha kukusanya Kodi.🤣🤣🤣
Yeye kwa akili yake akiona Wizara zinajenga majengo ya serkali anaona kipato ni cha wana Dodoma kinajenga!
 
GmV_TTvb0AAq4PB.jpeg
GmV_TTwa8AY8Y3i.jpeg
 
View attachment 3276461View attachment 3276462huku ngonjera hazipo, pesa inaongea yenyewe. Madude kama haya Dodoma utasikia serikali inajenga ........... Raia huku Wana sehemu Yao mbinguni
uchafu gani huu unaleta😂😂
utasikia serikali inajenga
kwani huko Mwanza hakuna serikali eti😀😀...mbona kilasiku mnapost daraja la JPM,Soko kuu , ujenzi wa hoteli ya nssf,ujenzi wa meli mv mwanza,upanuzi wa hospitali ya mkoa sekou toure,ujenzi wa barabara za tarura n.k JE HIYO NI MIRADI PRIVATE AU NI YA SERIKALI ....
🤣🤣🤣
 
Sawa ila tulia kwanza, sisi hatunaga kihemu hemu kama nyinyi ambao raia hawafanyi kitu wanasubiria kuchekelea miradi ya serikali na taasisi zake. Uelewe point yangu. Mwanza ni mixed ila hatuchongi
 
Back
Top Bottom