Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kusema kweli hakuna aliyeniambia ila Vilete mkuu si huu ni Uzi tunafurahishana tu
Huku Kuna viwanda mpaka vya nondo, nguo, minofu ya ng'ombe ukiondoa breweries, coca-cola. Pepsi, karakana ya kutengeneza boat, viwanda vya mabati, viwanda vya samaki n.k.
Ukitoa samaki kipi hakipo Dom hapo? Dom Kuna hai viwanda vya kusafisha Dhahabu sembuse mabati? Unachekesha 😆😆
 
Wewe ni kilaza tu ndo maana haujui maana ya GDP na Tax Revenue ndo maana Sirari,mtukula.namanga au tunduma haya maeneo yanaweza kufanya mikoa ikaonekana inakusanya kodi kubwa kumbe hiyo kodi haitokana na biashara ndo maana hiyo mikoa GDP inaendelea kuwa ndogo haya maeneo ni kama mawakala wa serikali.Mfano Mwingine Mwanza kuna viwanda vingi kama coca cola,breweries (Tanzania breweries&Serengeti ),Pepsi,Sayona steel,Nyakato steel,Songoro boatyard,Prince medical n.k hivi vyote kutokana na sheria kuna kiwango furani cha mlipa kodi lazima registration ifanyike makao makuu(Dar) ndo maana unaweza kuona Mwanza kodi ndogo lakini GDP kubwa maana yake ni kwamba shughuri zote za uzalisha zinafanyika eneo husika kama wafanyakazi wanapata kazi,usafirishaji,malighafi,pato la halmashauri lakini huwezi kuta halmashauri inaenda pale Tunduma au Namanga kuomba kodi.Nadhani umeelewa tofauti ya kati ya GDP na Tax Revenue.Mfano mwingine ni Geita na Shinyanga ina migodi mikubwa duniani au afrika na inalipa kodi kubwa lakini watu wake wanaendelea kuwa masikini miaka yote ni kwasababu hii mikoa ni mawakala wa serikali kuu hizo kodi ndo zinaenda kujenga Dodoma,Dar,Arusha Zanzibar na kuacha mashimo Geita na Shinyanga na kuacha watu wake wanakufa kwa kansa kila kukicha🤣🤣🤣.
🚮🚮
 
Viko wapi vilivyojaa mbona hatuvioni? Unavionaga wewe tuu si ndio? 😆😆

Dom Kila mwaka inazidi Mwanza miradi ya uwekezaji harafu unaleta hadithi za kijinga hapa 😆😆
Sitaki nianze kutukana Babu jaribu kujibu kwa ustaraabu na si lazima uniquote. Ondoa dhihaka, kejeli na kushushiana heshima hii mikoa siyo misosi kwamba tusipoisifia tutalala njaa. Kuwa na hekima basi mdogo wangu
 
Wadanganye washamba wenzako labda 😀😀....mwaka 2000 wakati Mwanza inatangazwa kuwa Jiji ghorofa pekee mji mzima lilikua hospitali ya Bugando.
Majengo mengine yote yaliyofuata yamejengwa baada ya mwaka 2000.
Shida yako unaambiwa au unaisikia Bugando hospital kwenye redio jaribu kutafuta mtu ambae amefika Mwanza kutoka huko Dodoma akwambie kitu chochote kuhusu bugando na siku ukifika Mwanza utaacha kusema huo utumbo kuhusu bugando.Pale hakuna matofali kuanzia underground mpaka floor ya mwisho,nisiongee sana ngoja nikuache uendelee kuamini hiyo Mloganzila inayokudanganya kwa virangi tu nakuomba nenda Bugando ukatalii kidogo utoe tongotongo za vumbi la Dodoma.
 
Viko wapi vilivyojaa mbona hatuvioni? Unavionaga wewe tuu si ndio? 😆😆

Dom Kila mwaka inazidi Mwanza miradi ya uwekezaji harafu unaleta hadithi za kijinga hapa 😆😆
Sasa nakuomba mimi nakuwekea viwanda vikubwa vya mwanza na wewe ufanye kazi ya matching na viwanda vikubwa vya Dodoma.
MWANZA - DODOMA
1. Prince pharmacal
Industry. 1............................
2.Zongii plumbing &plastic
Industry. 2...........................
3.Songoro marine boatyard 3......................
4.Sayona steel industry. 4........................
5.Tanzania breweries tld. 5.........................
6.Sandvik mineral laboratory
&Industry. 6......................
7.Serengeti breweries told. 7.......................
8.Mwatex Industry. 8....................
9.Chobo meat Industry. 9....................
10.Nyanza bottling company
(Coca cola company) 10..................
11.SBL(Pep company) 11......................
12.Nyakato steel Industry. 12....................
13.Precious refinery company 13..................
14.Nyanza sweets Industry. 14.................
15.La Cairo sweets and chewing 15..............
16.Insignia Industry (kiwanda cha
rangi) 16.............
17.Nyanza plastic Industry. 17.............
18.Dragon iron Industry (mabati) 18.............
19.Simba Dumu iron Industry 19........................
2o.Sayona soft drinks. 20.......................
SIjaweka vingine kama vya samaki na magodoro wengine wakitaka wataongeza lakini visiwe vya SIDO
 
Kunywa soda mwamba nitalipa hawa watu wa ukameni village wanapumbazwa na tumiradi uchwara Mwanza Haina mpinzani ukiondoa hiyo dar na naomba Mungu siku moja mwanza iwe jiji kubwa la kwanza Africa natamani sana ,,,linapokuja swala la fursa za kibiashara mwanza Haina mpinzani ukiondoa dar hawa sijui Arusha sijui ukameni village tupa kule😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom