Narudia tena wakati Mwanza inatangazwa kuwa Jiji mwaka 2000 jengo la ghorofa pekee refu lilikua hospitali ya Bugando ghorofa nne🤣🤣🤣
😂😂😂unarukaruka sana kama bisi kikaangoni😄😄, kutoka hakukuwa na ghorofa hadi idadi ya floors 🤣🤣🤣🤣 hadi wagogo wenyewe wanakushangaa😳😳. sasa huu ni muda wa kuchutama, jengo la ccm mkoa ni refu zaidi ya ghorofa nne.