Ukubwa wa Mwanza upo kwenye population pekeyake hilo halina ubishi(Wasukuma wanazaliana sana na wataendelea tu kuongoza).
Ukija kwenye vigezo vingine Dom wamewapita Mwanza mbali sana. Mwanza haifiki hata nusu ya Dom kwa👇👇
-Ubora wa mipangomiji
-Ubora wa miundombinu
-Mtandao mpana wa barabara za lami
-Mapato (both TRA na ya halmashauri)
-Huduma bora na uwingi wa huduma za kijamii
-Vyuo vikuu(both ukubwa,uwingi,na uwezo wa kuchukua idadi kubwa)
-Uwepo wa mashirika mengi ya kimataifa,balozi, na taasisi nyingi za kimataifa
-Viwanda
-Uwepo wa taasisi,mashirika,idara nyingi za serikali
-Uwepo wa makao makuu ya chama,bunge,judiciary,executive
-Projects nyingi zinazojengwa na future projects zinazokuja
-Upendeleo mkubwa wa miradi mingi ya serikali Dom
N.K HUO NDIO UKWELI MCHUNGU