Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mkoa ulioendelea hupimwa kwa kasi ya uwekezaji wa watu binafsi na si vinginevyo. Serikali ni yetu sote na inawajibu wa kujenga majengo ya ofisi zake makao makuu ya nchi.
IMG_20250323_113334.jpg
 
Mkoa ulioendelea hupimwa kwa kasi ya uwekezaji wa watu binafsi na si vinginevyo. Serikali ni yetu sote na inawajibu wa kujenga majengo ya ofisi zake makao makuu ya nchi. View attachment 3282073
Si tulikubaliana Mwanza haitegemei mbeleko ya serikali wao kila kitu ni juhudi za private sector kuanzia daraja la JPM,SGR,Ujenzi wa Meli,Hoteli ya nssf,upanuzi wa hospitali ya sekou toure n.k 🤣🤣🤣🤣.
 
Si tulikubaliana Mwanza haitegemei mbeleko ya serikali wao kila kitu ni juhudi za private sector kuanzia daraja la JPM,SGR,Ujenzi wa Meli,Hoteli ya nssf,upanuzi wa hospitali ya sekou toure n.k 🤣🤣🤣🤣.
Ushasema upendeleo wa miradi ya kiserikali upo zaidi dodoma na Mimi nakuongezea mkoa wa dsm. Hilo tumekubaliana nalo. Miradi ya serikali iliyopo Dodoma haiwezi kulingana na iliyopo mwanza. Licha ya kuwa na traffic jam kubwa ila serikali haioni umuhimu wa kapanua Barabara ila imejengwa by pass kwenye miisitu Dodoma. Tumekubaliana nalo. Sasa maendeleo hayapimwi kwa miradi ya ofisi za serikali Bali kwa uwekezaji wa sekta binafsi. Serikali akimaliza miradi yake atatulia then what?
 
Siku ukileta "settlement patterns" kama hizi za Dom zinazoonesha mpangilio wa mtaa mzima ndio tutakuzingatia...sio kila siku kuokoteza picha za nyumba nzuri moja moja👇👇View attachment 3282625
Hizi nyumba zimekaa kama kambi za ujenzi wa SGR Mwanza-isaka😅😅😅 anae bisha aniambie.Mwanza matajiri wametoka huko Nyumba ni kunzia floor moja nakuendelea na glass structure.Hivyo vinyumba vinafaa kwa watumishi ambao wana fixed income
 
Tuonyeshe hizo kambi huko uswazi city
 
NHC Hizo siyo mansions. Uwe unajua kutofautisha bhizi terminology
Elewa maana ya settlement patterns ..
Kwa kukusaidia tu 👇👇

Settlement patterns describe how buildings and houses are distributed in a settlement, with common types including dispersed, linear, nucleated, and clustered.

-Hizo nyumba nzuri nzuri mojamoja unazookoteza ndani ya mtaa mmoja haziondoi ukweli kuwa huko ni uswahilini hakuna mipangomji. Ukienda Tandale,Buguruni,Kigogo,Temeke,Mabibo kuna mansions nzuri kushinda za Masaki lakini ukweli utabaki palepale ni uswahilini.
 
Back
Top Bottom