Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

L

Leta mansions kama hizi hapo Dodoma
Wenzenu Dom mansions zimejengwa kwenye mitaa iliyopimwa na kupangiliwa vizuri 100%
Angalia mfano huu ....mtaa wa Kilimani👇👇

Elewa maana ya settlement patterns ..
Kwa kukusaidia tu 👇👇

Settlement patterns describe how buildings and houses are distributed in a settlement, with common types including dispersed, linear, nucleated, and clustered.

-Hizo nyumba nzuri nzuri mojamoja unazookoteza ndani ya mtaa mmoja haziondoi ukweli kuwa huko ni uswahilini hakuna mipangomji. Ukienda Tandale,Buguruni,Kigogo,Temeke,Mabibo kuna mansions nzuri kushinda za Masaki lakini ukweli utabaki palepale ni uswahilini.
Angalia picha ya kwanza then Rudi kwenye definition yako. Hizo zingine nimekusogezea ili utathimi quality ya jengo Moja Moja. Nyumba ziko clustered siyo mradi wa nyumba Moja huo. Uelewe huu ni mradi wa NHC.
 
Wenzenu Dom mansions zimejengwa kwenye mitaa iliyopimwa na kupangiliwa vizuri 100%
Angalia mfano huu ....mtaa wa Kilimani👇👇

Hiyo ndo mansion sasa, ila ni Moja tu mtaa mzima jambo la kusikitisha sana
 
Kwamba huo uchafu ndio unataka kushindanishwa na Dom HQ? 👇👇

View: https://youtu.be/-7hacRaLmzc?feature=shared

Mbona vichaka tu na tujengo tuletule twa serikali tunapigwa picha angel tofauti au kuna kingine??Kuhusu world bank hata TACTICS project nao ni mradi wa world bank.Kila siku,kila mwaka maneno ni yale yale ila utekelezaji wake ni pumba tu.Hela inayopelekwa Dodoma,Dar na Arusha ingetumika vizuri pangekuwa zaidi ya Dubai ila mnatupigisha hasara tu na kutengeneza vichaka vya watu kupiga tu.Bora na Magufuri alitoa hela africa bank akajenga airport(msalato) na ring road na kweli vilijengwa lakini hawa saizi ni changamoto mfano Magufuri aliomba hela za TACTICS Sasa uwekezaji wake ni chai ya rangi.Mama Samia alisema hela za green city project kwaajilri ya Mwanza na Tanga city zimekuja nazo zimebaki historia.Tusiandikie mate ngoja tusubiri inawezekana utekelezaji ukawa 2060.
 
Povu pro max 😂😂

Leta vitu wewe 👇👇

View: https://youtu.be/MAqLMlb2K1M?feature=shared
 
Mungekuwa na akili nyie Mwanza is Slum mungejenga Satelite Cities pande zote za daraja Ili kutoa mandhari kama hapa 👇 👇
dodoma_zone__1743179097687.jpg

Sasa nyie Kwa umbumbumbu wenu ukiangalia mbele slums,ukiheuanyuma slums yaani uchafu matupu.

Dunia nzima daraja la Kigongo JPM ndio liko katikati ya Slums 😁😁😁😁👇👇
dodoma_zone__1743179097169.jpg
 
Mungekuwa na akili nyie Mwanza is Slum mungejenga Satelite Cities pande zote za daraja Ili kutoa mandhari kama hapa 👇 👇 View attachment 3286141

Sasa nyie Kwa umbumbumbu wenu ukiangalia mbele slums,ukiheuanyuma slums yaani uchafu matupu.

Dunia nzima daraja la Kigongo JPM ndio liko katikati ya Slums 😁😁😁😁👇👇View attachment 3286144
Umeanza kuweweseka na halijakamilika. 4 ways to usagara kutoka kigongo na mjini to usagara zikiisha tafuta pa kujificha.
 
Nchi kuingia mkopo kwa ajili ya Dodoma na Daslam Pekee viongozi wanatukosea sana. Halafu lije kuitwa deni la Taifa badala ya kusema deni la Dodoma au Daslam wanakoelekezea matumizi ya pesa hizo.
Zingatia neno the Capital City of 🇹🇿
 
Zingatia neno the Capital City of 🇹🇿
Pambaneni na umasikini wenu kwanza hiyo capital city haitawasahidia kitu wakati Mbeya,Arusha na Mwanza wanapiga hela na kufanya kazi kwa bidii ,kuna siku watachoka kuwalisha na kulipa madeni ya taifa ya kipumbavu ya kujenga Dodoma ya watu wazembe na ombaomba hapo ndo majimbo yatahitajika,ukibebwa bebeka.Dodoma na Zanzibar mmeishakuwa mzigo wa taifa.
 
Back
Top Bottom