Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

👇👇inaitwa shule ya "mfano" Tanzania nzima .....elewa neno mfano


View: https://youtu.be/B7q2Eeqw5zw?si=79Fbo_Kl-WRDCtH2

Mfano kwa lipi performance yake iphone?. Shule ya mfano ni maneno tu ya wanasiasa lazima usomi wako uonekanike kwenye kutofautisha maneno ya wanasiasa na uhalisia. Itakuwa shule ya mfano kiserikali na si kwenye shule za taasisi na watu binafsi. Will never be....,..
 
Hayo majengo floor tatu ni ujinga tu!
Yatakuja kuwa kama Majengo ya Wizara hapa Posta Dar hayana maana na muonekano mbovu tu!
IMG_20250323_121011.jpg
raia wa mwanza wanauchapa wa namna hii huku Dodoma wanafurahia majengo ghorofa tatu ya serikali
 
Kwa hiyo Hako majengo kamoja ndio kelele zote hizo?

Harafu Ile ni government school sio private
Nenda kwenye web yake mkuu hiyo sampuli tu jengo la floor tatu vs floor mbili halafu mnaema ya mfano kwa lipi. Tupe performance yake tujadili according to kile inakitoa. Huwezi kusema ya mfano bila kufanya comparison
 
View attachment 3282026View attachment 3282027View attachment 3282028View attachment 3282029tukiacha blah blah nyingi tutaelewana mapema mno. Baadhi tu ya vijisehemu vya Capri point
Umesahau na vijumba vya Mabatini kule juu mlimani...😂😂.Mwanza wakajifunze maana ya mipangomiji Dodoma. Jiji la Dodoma pia limezungukwa na milima mfano kwa waziri mkuu,njedengwa,gereza la isanga,ntyuka jeshini,mkonze barabara ya kwenda iringa n.k lakini huwezi kukuta uchafu wa kujenga vijumba ovyoovyo kama ilivyo kwa Mwanza mabatini👇👇
mwanza.png
 
Hivi umewahi kufika Dom kweli.Vp maghorofa yote ya City Centre,mji mpya,one way,st John's, kilimani,miyuji proper,ilazo,Area A ,kisasa,medeli east ni ya Serikali eti....🤣🤣🤣🤣
Yamefanyaje?.
 
Umesahau na vijumba vya Mabatini kule juu mlimani...😂😂.Mwanza wakajifunze maana ya mipangomiji Dodoma. Jiji la Dodoma pia limezungukwa na milima mfano kwa waziri mkuu,njedengwa,gereza la isanga,ntyuka jeshini,mkonze barabara ya kwenda iringa n.k lakini huwezi kukuta uchafu wa kujenga vijumba ovyoovyo kama ilivyo kwa Mwanza mabatini👇👇View attachment 3282043
Hizo ni bati na tofali za block, cheki hapa down masikini wa dodoma na nyumba zao za kisasa
Screenshot_2025-03-24-22-12-16-269_com.android.chrome.jpg
 
Back
Top Bottom