Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

IMG_20250322_181814.jpg
msomi na mtu mwenye facts alileta hii orodha ya viwanda mkoa wa Dodoma. Mkuu sibashini na wewe tena. wewe ni msomi level za juu mno masare
 
👉VIWANDA VYA NYAMA
-TANMEAT
-NARCO
-VETA
-CHA WACHINA
Jumla vipo vitano na kufanya Dodoma ndio pekee Tanzania wenye viwanda vingi vya kusindika nyama
👉SEKTA YA ZABIBU+WINE
-Alko Vintages
-Dane
-TanPort
-Celta Wigo
-Hombolo
-Dodoma Winery
Na hapo sijakutajia vingine vidogo vidogo na vya saizi ya kati zaidi ya 20
👉KIWANDA CHA MBOLEA
Hiki ni kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki, Kati na Kusini mwa Jangwa la Sahara
👉Kiwanda cha Magodoro-Dodoma Asili
👉Kiwanda cha Ngano
👉Kiwanda cha Karatasi+tissues
👉Viwanda vya maji+soft drinks+beverages ....hivi viko vingi havina idadi
👉viwanda vya maziwa ...vipo zaidi ya vitatu
👉Kiwanda cha Ngozi
👉Sekta ya Alizeti
-hapa viko vingi ila vikubwa vinavyozalishwa zaidi ya tani 100 kwa siku viko viwili kimoja cha Wachina kipo Veyula na kingine kipo Kizota Industrial Area
👉Viwanda vya mabati+ hardwares....vipo vingi
👉Sekta ya madini
-Kiwanda cha kuchenjua madini ya shaba NALA

N.K listi ni ndefu sana
Kwa orodha hii kitu pekee Mwanza wamewazidi Dodoma labda viwanda vya samaki🤣🤣.Ukienda Dom pale NALA INDUSTRIAL PARK pekeyake idadi ya viwanda vilivyoanza uzalishaji pamoja na vinavyoendelea kujengwa (kwa ukubwa na uwingi) ni sawa na idadi ya viwanda vyote jumlisha vya mikoa ya kanda ya Ziwa.
 
Unafanya vitu kwa assumption hauko realistic kama unavyojinadi
 
Kwa orodha hii kitu pekee Mwanza wamewazidi Dodoma labda viwanda vya samaki🤣🤣.Ukienda Dom pale NALA INDUSTRIAL PARK pekeyake idadi ya viwanda vilivyoanza uzalishaji pamoja na vinavyoendelea kujengwa (kwa ukubwa na uwingi) ni sawa na idadi ya viwanda vyote jumlisha vya mikoa ya kanda ya Ziwa.
Ukitoa blah blah zako shinyanga inawazidi kwenye sekta hiyo maana unaleta mpaka mafundi nguo, watu wanaojitafutia ridhiki kwa kuajiri watu wawili ama wanne kuwasaidia kazi.

View: https://www.instagram.com/p/CqNP9pRNOfy/?igsh=MTVodjV3cmY3ZDF2eg==
 
Daraja la JPM Kigongo -Busisi halipo Mwanza CBD... linaunganisha wilaya za Misungwi na Sengerema .Ni sawa na kusema daraja la Mtera lipo Dodoma CBD wakati lipo wilaya ya Mpwapwa .Alafu si huwa mnasema Mwanza haitegemei mbeleko ya Serikali kilakitu kinafanywa na private sector vp tena aisee🤣🤣🤣🤣
Unatakiwa kuelewa MWANZA sio kama DODOMA Kwamba ukitoka Dodoma kwend mtera ni pori.Mwanza ni jiji kubwa hizo wilaya zote zimeungana mfano kutoka Ilemela kwenda Misungwi kama wewe mgeni huwezi kuona mpaka japo unapita wilaya tatu hivyo Sengerema.Nyamagana inaunganishwa na vivuko watu wanafanya kazi nyamanaga wanalala Sengerema kamanga ni kama kigamboni tu.Sasa mtu kama wewe ucyejua unaangaika na cbd unadhani kajiji kadodoma ni sawa na majiji makubwa kama Mwanza.
 
Kwa hyo mji wa serikali mtumba upo CBD?
 
Soma title ya thread wewe KILAZA.. thread inahusu Dom CBD vs Mwanza CBD. Unataka Dom nao walete habari za Bahi,Chamwino au Kondoa eti simply kwasababu zipo karibu na Dom😀😀.
 
Kwa hyo mji wa serikali mtumba upo CBD?
Kutoka mji wa serikali Mtumba mpaka City Centre kwa gari ni roughly 7 km ....sasa niambie kutoka Mwanza City Centre mpaka kufika daraja la Kigongo-Busisi unapita halmashauri ngapi na ni kilomita ngapi🤣🤣
 
Duh mashine ya kusaga unga kumbe nayo ni kiwanda?

Mafundi seremala kumbe nao ni kiwanda huko dodoma?

Hahaaaa mbavu zangu jaman
Nadhani tungemuuliza kwanza huyu aliyesema Mwanza kuna viwanda zaidi ya 400. Je ni vya nini 😀😀
IMG-20250322-WA0015.jpg
👇👇
 
unadhani kajiji kadodoma ni sawa na majiji makubwa kama Mwanza.
Ukubwa wa Mwanza upo kwenye population pekeyake hilo halina ubishi(Wasukuma wanazaliana sana na wataendelea tu kuongoza).
Ukija kwenye vigezo vingine Dom wamewapita Mwanza mbali sana. Mwanza haifiki hata nusu ya Dom kwa👇👇
-Ubora wa mipangomiji
-Ubora wa miundombinu
-Mtandao mpana wa barabara za lami
-Mapato (both TRA na ya halmashauri)
-Huduma bora na uwingi wa huduma za kijamii
-Vyuo vikuu(both ukubwa,uwingi,na uwezo wa kuchukua idadi kubwa)
-Uwepo wa mashirika mengi ya kimataifa,balozi, na taasisi nyingi za kimataifa
-Viwanda
-Uwepo wa taasisi,mashirika,idara nyingi za serikali
-Uwepo wa makao makuu ya chama,bunge,judiciary,executive
-Projects nyingi zinazojengwa na future projects zinazokuja
-Upendeleo mkubwa wa miradi mingi ya serikali Dom

N.K HUO NDIO UKWELI MCHUNGU
 
Uwe unasoma vizuri comments na kuelewa wewe MEMKWA.Nimekwambia wakati Mwanza inatangazwa kuwa Jiji mwaka 2000 jengo la ghorofa pekee mji mzima lilikua hospitali ya Bugando😀😀 ....majengo mengine yote yamejengwa after 2000
Bugan
-Dragon
-Tianjin
-Kinglion
-ALAF

-ficha ujinga wako kama hujui kitu ni bora kuuliza,huku ni Jamiiforums sio Facebook 😀😀. Dodoma kulikua na viwanda vikubwa viwili "Quality Foam Limited a.k.a. magodoro dodoma" ambacho kiliungua moto na baada ya kulipwa Bima wakahamisha kiwanda Dar. Kiwanda kilichobaki kinaitwa Modern Mattress Manufacturing Limited a.k.a Magodoro Dodoma Asili👇👇

Hiyo king lion siyo kiwanda wewe

Ni pikipiki za wasukuma wanaitwa akina ndegesera huwa zinakuja kwenye mabox zikifika wana zipeleka warehouse kuunganisha

Hata huku mwanza hizo warehouse ni nyingi sana
 
Hiyo king lion siyo kiwanda wewe

Ni pikipiki za wasukuma wanaitwa akina ndegesera huwa zinakuja kwenye mabox zikifika wana zipeleka warehouse kuunganisha
Ujuaji mwingi kumbe kilaza tu ....kama hujui kitu ni bora kuuliza kuliko kujifanya kubisha bisha ilimradi uonekane au ulijua unabishana na MEMKWA wenzako😀😀👇👇

KINGLION MABATI DODOMA
5.0 (1)
Manufacturer in Dodoma

Call

Directions
Address: RPJH+22G, B129, Dodoma
Hours: Closed ⋅ Opens 9 am Mon
Phone: 0657 896 527
 
Ukubwa wa Mwanza upo kwenye population pekeyake hilo halina ubishi(Wasukuma wanazaliana sana na wataendelea tu kuongoza).
Ukija kwenye vigezo vingine Dom wamewapita Mwanza mbali sana. Mwanza haifiki hata nusu ya Dom kwa👇👇
-Ubora wa mipangomiji
-Ubora wa miundombinu
-Mtandao mpana wa barabara za lami
-Mapato (both TRA na ya halmashauri)
-Huduma bora na uwingi wa huduma za kijamii
-Vyuo vikuu(both ukubwa,uwingi,na uwezo wa kuchukua idadi kubwa)
-Uwepo wa mashirika mengi ya kimataifa,balozi, na taasisi nyingi za kimataifa
-Viwanda
-Uwepo wa taasisi,mashirika,idara nyingi za serikali
-Uwepo wa makao makuu ya chama,bunge,judiciary,executive
-Projects nyingi zinazojengwa na future projects zinazokuja
-Upendeleo mkubwa wa miradi mingi ya serikali Dom

N.K HUO NDIO UKWELI MCHUNGU
Umesahau viwonder vya au makao makuu Dodoma 🤣🤣🤣 auumeorodhesha??
 
Attachments

  • Screenshot_20250324_001811_Facebook.jpg
    Screenshot_20250324_001811_Facebook.jpg
    292 KB · Views: 14
Back
Top Bottom