Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

20250329_211400.jpg
 
Mbeya ndio mkoa Pekee Hadi Leo Tanzania hii ilipofanyika sherehe ya uzinduzi wa elevator 😂😂
Ndio Kwa sababu mlizoea kudanganya eti Mbeya haifai kujenga Majengo marefu kumbe mnajipendelea minyama.

Tulijenga na Sherehe ikafanyika na tukafungulia highrise buildings zingine
20240422_214617.jpg
20240903_174552.jpg
20241118_215910.jpg
20241118_220016.jpg
20250108_071413.jpg
20250125_171053.jpg
20250125_171703.jpg
20250125_171710.jpg
20250125_171742.jpg
20250125_171716.jpg
20250125_171808.jpg
20250125_171802.jpg
20250125_172117.jpg
20250125_172129.jpg
 
Nawakumbushe wale wasioijua Bugando medical centre kama huyo choice anaysema bugando ni floor 4 ni hilo jengo linaloonekana .Narudia tena Tanzania hii hakuna Hospital kama bugando kwa facilities na nikweli muisrael alifanyakazi na haitakuwepo kwa nchi yenye upigaji kama Tanzania.
Unaijua hii? 👇👇
20241118_220016.jpg
20241118_215910.jpg
 
Chukua hapo Ilemela+ Capri Point hamfikii Itega.

Mwisho Kwa nini hakuna Mitaa na Barabara? 😁😁
Na nyumba zenu za mabati meupe. Tofautisha kati ya mansions na nyumba. Kuna kuishi na kukaa ni vitu viwili tofauti.
 
Hakuna hospitali yenye majengo mazuri, na marefu kama BUGANDO , Tanzania nzima.
1. Bugando
2. Kcmc
3. Muhimbili inabwebwa na jengo la JKCI ghorofa mbili na jengo la MOI pengine na jengo la mloganzila hayo mengine including wodi za mwaisela n.k ni za kawaida sana.
3. Benjamini mkapa jengo Moja tu
4. Mbeya RRH
5. Tanga RRH
6. SEKOU TOURE RRH
Wanaofuatia hapo wa kawaida sana akina amana, temeke, general dom
 
Huruma naona Mimi... Kuna majengo yamerudiwa zaidi ya mara nne na picha za angle tofauti tofauti..vighorofa vya floor nne anaita tower ... tofauti yenu na kahama ni. Nin
 
Back
Top Bottom