Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

GDP hujui hata maana yake unapuyanga tu hapa!
Wewe ni mtu wa hovyo sana unajidai kujua kila jambo!
 
GDP hujui hata maana yake unapuyanga tu hapa!
Wewe ni mtu wa hovyo sana unajidai kujua kila jambo!
GDP inapimwa kwa mkoa au Kanda ....Tanzania hatuna GDP ya miji ,majiji.Thread inahusu Dom City vs Mwanza City sio Dodoma RC vs Mwanza RC usitafute kichaka cha kujifichiaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
GDP inapimwa kwa mkoa au Kanda ....Tanzania hatuna GDP ya miji ,majiji.Thread inahusu Dom City vs Mwanza City sio Dodoma RC vs Mwanza RC usitafute kichaka cha kujifichiaπŸ˜‚πŸ˜‚

Pato la Jiji la dodoma (GDP) Ilikuwa ni trillion 1.8 sawa na GDP ya wilaya ... very low ukilinganisha hata na wilaya ya nyamagana
 
View attachment 3274989
Pato la Jiji la dodoma (GDP) Ilikuwa ni trillion 1.8 sawa na GDP ya wilaya ... very low ukilinganisha hata na wilaya ya nyamagana
Kuna data currently za 2023 achana na hizo za zamani Wacha uvivu.

Msaidie mwenzio sambulugu kumuelimisha kwamba GDP has nothing to do with a municipal being a City .

Pia mwambie kwamba Mwanza ilikuwa City ikiwa na GDP ndogo kuliko ya Dom Kwa Sasa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Nimecheka kama mwehu eti fake baada ya kupigwa za Uso 🀣🀣

Sijui utapeleka lawama wapi maana hata TRA wenyewe hawahusiki na umaskini wenu wao kazi Yao ni kukusanya pesa .
 
Labda kama huna report ya kutoshaπŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…