Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mjinga akiwa hajui kitu huwa anauliza kwa wataalamu anasaidiwa kupata maarifa..mpumbavu ndio huwa anashupaza shingo.
Kwa kukusaidia tu wakati Mwanza inapewa hadhi ya Jiji mwaka 2000 mji mzima kulikua na jengo refu moja tu la ghorofa 4 tena la hospitali ya BugandoπŸ˜€πŸ˜€.Kawaulize TAMISEMI walitumia vigezo gani kuipa Mwanza hadhi ya Jiji enzihizo.
Alafu unazidi kuchanganya.. ishu ya GDP inapimwa regionalwise/kimkoa sio kimji.Kwamfano huwezi kulinganisha mkoa wa Mwanza wenye halmashauri nane na mkoa wa Rukwa wenye halmashauri 4 lakini ni kawaida kukuta hata halmashauri mpya iliyoanzishwa juzijuzi kuizidi mapato (both TRA na ya ndani) halmashauri ya zamani tena kutoka mkoa mkubwa.
 
Sekta binafsi Ina mchango mkubwa mno kwenye maendeleo hapa tushamalizana siku mingi na Hilo jengo kwenye picha ya pili. Tunapiga hii ya kwanza chap kwa tunza beach inabadilishwa kukidhi mahitaji ya wateja.
 
Sawa ila tulia kwanza, sisi hatunaga kihemu hemu kama nyinyi ambao raia hawafanyi kitu wanasubiria kuchekelea miradi ya serikali na taasisi zake. Uelewe point yangu. Mwanza ni mixed ila hatuchongi
Aliyekwambia Dom hakuna miradi binafsi nani...unajua idadi ya viwanda vilivyopo Dom,unajua idadi ya mahoteli +malls,unajua idadi ya vyuo vikuu na vyuo vya kati,unajua idadi ya makampuni yaliyopo Dom,Unawajua wawekezaji wakubwa waliowekeza akina GSM,Dangote n.k,unajua miradi na vitega uchumi vya makanisa makubwa yaliyopo Dom,unajua uwekezaji wa vyombo vya habari Dom n.k
 
Kusema kweli hakuna aliyeniambia ila Vilete mkuu si huu ni Uzi tunafurahishana tu
Huku Kuna viwanda mpaka vya nondo, nguo, minofu ya ng'ombe ukiondoa breweries, coca-cola. Pepsi, karakana ya kutengeneza boat, viwanda vya mabati, viwanda vya samaki n.k.
 
Kwamba Kuna television Dodoma kama ilivyo STAR TV??? Au kituo Cha radio maarufu kama radio free Africa??
 
Kama hujui kitu basi ni vema na haki ukauliza wataalamu wakusaidieπŸ‘‡πŸ‘‡
-Viwanda vitano vya kusindika nyama
-Viwanda zaidi ya kumi vya Zabibu
-Viwanda vya Magodoro
-Kiwanda cha Mbolea
-Viwanda vya mafuta ya Alizeti
-Kiwanda cha Ngano
-Viwanda vya maji+maziwa+beverages
-Viwanda vya SIDO
-Viwanda vya mabati+vifaa vya ujenzi
N.k
 
S
Naona unaleta small scale industries
 
Marudio tu, huku vimejaa ndiyo maana nikakuwekea viwanda vya nguo, nondo, samaki nikiamini Dodoma havipo na hapo sijataja mkuu. Hivyo ulotaja wewe ni marudio ukiingiza na SIDO ndo itakuwa unajaza utitiri ambao upo kila maeneo
 
Shida yako unataka kunifundisha kuhusu Mwanza wakati ndo makazi yangu toka mwaka 1992.Kwa kukusahidia Bugando ndo jengo refu la kwanza nchi hii na ina floor 9 na kwa majengo hakuna hospitali ya kuifikia nchi hii muisrael alifanya kazi.Hata kama ilikuwa na gorofa moja lakini vigezo ilitimiza ndo maana ikawa jiji kuitangulia ikiwaacha Arusha,Dodoma,tanga na mbeya.Sasa hapo umiza kichwa,
 
Wadanganye washamba wenzako labda πŸ˜€πŸ˜€....mwaka 2000 wakati Mwanza inatangazwa kuwa Jiji ghorofa pekee mji mzima lilikua hospitali ya Bugando.
Majengo mengine yote yaliyofuata yamejengwa baada ya mwaka 2000.
 
Nina wasiwasi unaweza kuwa kilaza.Mlonganzila unaijua?
 
Marudio tu, huku vimejaa ndiyo maana nikakuwekea viwanda vya nguo, nondo, samaki nikiamini Dodoma havipo na hapo sijataja mkuu. Hivyo ulotaja wewe ni marudio ukiingiza na SIDO ndo itakuwa unajaza utitiri ambao upo kila maeneo
Viko wapi vilivyojaa mbona hatuvioni? Unavionaga wewe tuu si ndio? πŸ˜†πŸ˜†

Dom Kila mwaka inazidi Mwanza miradi ya uwekezaji harafu unaleta hadithi za kijinga hapa πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…