Uwe unasoma vizuri comments na kuelewa wewe MEMKWA.Nimekwambia wakati Mwanza inatangazwa kuwa Jiji mwaka 2000 jengo la ghorofa pekee mji mzima lilikua hospitali ya Bugando😀😀 ....majengo mengine yote yamejengwa after 2000Shida yako unaambiwa au unaisikia Bugando hospital kwenye redio jaribu kutafuta mtu ambae amefika Mwanza kutoka huko Dodoma akwambie kitu chochote kuhusu bugando na siku ukifika Mwanza utaacha kusema huo utumbo kuhusu bugando.Pale hakuna matofali kuanzia underground mpaka floor ya mwisho,nisiongee sana ngoja nikuache uendelee kuamini hiyo Mloganzila inayokudanganya kwa virangi tu nakuomba nenda Bugando ukatalii kidogo utoe tongotongo za vumbi la Dodoma.
Nitaongezea akijibu list ni kubwa mno broSasa nakuomba mimi nakuwekea viwanda vikubwa vya mwanza na wewe ufanye kazi ya matching na viwanda vikubwa vya Dodoma.
MWANZA - DODOMA
1. Prince pharmacal
Industry. 1............................
2.Zongii plumbing &plastic
Industry. 2...........................
3.Songoro marine boatyard 3......................
4.Sayona steel industry. 4........................
5.Tanzania breweries tld. 5.........................
6.Sandvik mineral laboratory
&Industry. 6......................
7.Serengeti breweries told. 7.......................
8.Mwatex Industry. 8....................
9.Chobo meat Industry. 9....................
10.Nyanza bottling company
(Coca cola company) 10..................
11.SBL(Pep company) 11......................
12.Nyakato steel Industry. 12....................
13.Precious refinery company 13..................
14.Nyanza sweets Industry. 14.................
15.La Cairo sweets and chewing 15..............
16.Insignia Industry (kiwanda cha
rangi) 16.............
17.Nyanza plastic Industry. 17.............
18.Dragon iron Industry (mabati) 18.............
19.Simba Dumu iron Industry 19........................
2o.Sayona soft drinks. 20.......................
SIjaweka vingine kama vya samaki na magodoro wengine wakitaka wataongeza lakini visiwe vya SIDO
👉VIWANDA VYA NYAMASasa nakuomba mimi nakuwekea viwanda vikubwa vya mwanza na wewe ufanye kazi ya matching na viwanda vikubwa vya Dodoma.
MWANZA - DODOMA
1. Prince pharmacal
Industry. 1............................
2.Zongii plumbing &plastic
Industry. 2...........................
3.Songoro marine boatyard 3......................
4.Sayona steel industry. 4........................
5.Tanzania breweries tld. 5.........................
6.Sandvik mineral laboratory
&Industry. 6......................
7.Serengeti breweries told. 7.......................
8.Mwatex Industry. 8....................
9.Chobo meat Industry. 9....................
10.Nyanza bottling company
(Coca cola company) 10..................
11.SBL(Pep company) 11......................
12.Nyakato steel Industry. 12....................
13.Precious refinery company 13..................
14.Nyanza sweets Industry. 14.................
15.La Cairo sweets and chewing 15..............
16.Insignia Industry (kiwanda cha
rangi) 16.............
17.Nyanza plastic Industry. 17.............
18.Dragon iron Industry (mabati) 18.............
19.Simba Dumu iron Industry 19........................
2o.Sayona soft drinks. 20.......................
SIjaweka vingine kama vya samaki na magodoro wengine wakitaka wataongeza lakini visiwe vya SIDO
Wewe ndo hunaga unachokielewa kheri ungekuwa na idea ya kile kinachokufanya ushapaze shingo. Kwanza mtoto wa 2000 siku zote hujionaga mjanja kumbe ndo matatizo kabisa. Huwezi kuelewa ushauri kama kama hujatuliza medula oblongataUwe unasoma vizuri comments na kuelewa wewe MEMKWA.Nimekwambia wakati Mwanza inatangazwa kuwa Jiji mwaka 2000 jengo la ghorofa pekee mji mzima lilikua hospitali ya Bugando😀😀 ....majengo mengine yote yamejengwa after 2000
Kiwanda Cha karatasi/ tissue paper ni SIDO ukitaka mkeka wa namna hiyo tutakesha. Hadi VETA👉VIWANDA VYA NYAMA
-TANMEAT
-NARCO
-VETA
-CHA WACHINA
Jumla vipo vitano na kufanya Dodoma ndio pekee Tanzania wenye viwanda vingi vya kusindika nyama
👉SEKTA YA ZABIBU+WINE
-Alko Vintages
-Dane
-TanPort
-Celta Wigo
-Hombolo
-Dodoma Winery
Na hapo sijakutajia vingine vidogo vidogo na vya saizi ya kati zaidi ya 20
👉KIWANDA CHA MBOLEA
Hiki ni kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki, Kati na Kusini mwa Jangwa la Sahara
👉Kiwanda cha Magodoro-Dodoma Asili
👉Kiwanda cha Ngano
👉Kiwanda cha Karatasi+tissues
👉Viwanda vya maji+soft drinks+beverages ....hivi viko vingi havina idadi
👉viwanda vya maziwa ...vipo zaidi ya vitatu
👉Kiwanda cha Ngozi
👉Sekta ya Alizeti
-hapa viko vingi ila vikubwa vinavyozalishwa zaidi ya tani 100 kwa siku viko viwili kimoja cha Wachina kipo Veyula na kingine kipo Kizota Industrial Area
👉Viwanda vya mabati+ hardwares....vipo vingi
👉Sekta ya madini
-Kiwanda cha kuchenjua madini ya shaba NALA
N.K listi ni ndefu sana
Na. | Halmashauri | Idadi ya Viwanda |
1 | Jiji | 22 |
2 | Ilemela | 30 |
3 | Magu | 16 |
4 | Kwimba | 6 |
5 | Sengerema | 4 |
6 | Buchosa | 4 |
7 | Ukerewe | 10 |
8 | Misungwi | 6 |
= | Jumla | 92 |
Na. | Halmashauri | Idadi ya Viwanda |
1 | Jiji na Ilemela | 378 |
2 | Magu | 102 |
3 | Kwimba | 16 |
4 | Sengerema na Buchosa | 52 |
5 | Ukerewe | 27 |
6 | Misungwi | 14 |
= | Jumla | 589 |
Kiwanda vya mabati havina majina ?👉VIWANDA VYA NYAMA
-TANMEAT
-NARCO
-VETA
-CHA WACHINA
Jumla vipo vitano na kufanya Dodoma ndio pekee Tanzania wenye viwanda vingi vya kusindika nyama
👉SEKTA YA ZABIBU+WINE
-Alko Vintages
-Dane
-TanPort
-Celta Wigo
-Hombolo
-Dodoma Winery
Na hapo sijakutajia vingine vidogo vidogo na vya saizi ya kati zaidi ya 20
👉KIWANDA CHA MBOLEA
Hiki ni kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki, Kati na Kusini mwa Jangwa la Sahara
👉Kiwanda cha Magodoro-Dodoma Asili
👉Kiwanda cha Ngano
👉Kiwanda cha Karatasi+tissues
👉Viwanda vya maji+soft drinks+beverages ....hivi viko vingi havina idadi
👉viwanda vya maziwa ...vipo zaidi ya vitatu
👉Kiwanda cha Ngozi
👉Sekta ya Alizeti
-hapa viko vingi ila vikubwa vinavyozalishwa zaidi ya tani 100 kwa siku viko viwili kimoja cha Wachina kipo Veyula na kingine kipo Kizota Industrial Area
👉Viwanda vya mabati+ hardwares....vipo vingi
👉Sekta ya madini
-Kiwanda cha kuchenjua madini ya shaba NALA
N.K listi ni ndefu sana
😂😂😂😂kwamba jengo la ccm mkoa limejengwa miaka ya 2000, 😂😂😂eti kumbe mwanza hotel na shinyanga hotel zimejengwa miaka ya 2000, 🤣🤣🤣 pale Ofisi za NHC pamejengwa miaka ya 2000, 🤣🤣🤣dah! afu kumbe lile jengo la kishimba, majengo ya NHC, Majengo ya Nyanza nk yamejengwa miaka ya 2000, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uwe unasoma vizuri comments na kuelewa wewe MEMKWA.Nimekwambia wakati Mwanza inatangazwa kuwa Jiji mwaka 2000 jengo la ghorofa pekee mji mzima lilikua hospitali ya Bugando😀😀 ....majengo mengine yote yamejengwa after 2000
Anakwama sana huyu jamaa, nilitaka nimweleze haya na mengine ila nikakumbuka Hana anachokijua nikaamua kunyamaza kimya.😂😂😂😂kwamba jengo la ccm mkoa limejengwa miaka ya 2000, 😂😂😂eti kumbe mwanza hotel na shinyanga hotel zimejengwa miaka ya 2000, 🤣🤣🤣 pale Ofisi za NHC pamejengwa miaka ya 2000, 🤣🤣🤣dah! afu kumbe lile jengo la kishimba, majengo ya NHC, Majengo ya Nyanza nk yamejengwa miaka ya 2000, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
-DragonKiwanda vya mabati havina majina
-ficha ujinga wako kama hujui kitu ni bora kuuliza,huku ni Jamiiforums sio Facebook 😀😀. Dodoma kulikua na viwanda vikubwa viwili "Quality Foam Limited a.k.a. magodoro dodoma" ambacho kiliungua moto na baada ya kulipwa Bima wakahamisha kiwanda Dar. Kiwanda kilichobaki kinaitwa Modern Mattress Manufacturing Limited a.k.a Magodoro Dodoma Asili👇👇Kiwanda Cha dodoma asili kipo dar .hapo mna depot tu
Jengo gani la ghorofa kabla ya mwaka 2000 lilikua refu zaidi ya ghorofa nne ukitoa hospitali ya Bugando...🤣🤣🤣😂😂😂😂kwamba jengo la ccm mkoa limejengwa miaka ya 2000, 😂😂😂eti kumbe mwanza hotel na shinyanga hotel zimejengwa miaka ya 2000, 🤣🤣🤣 pale Ofisi za NHC pamejengwa miaka ya 2000, 🤣🤣🤣dah! afu kumbe lile jengo la kishimba, majengo ya NHC, Majengo ya Nyanza nk yamejengwa miaka ya 2000, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huna ujualo zaidi ya ushabiki maandazi😀😀. Jitahidi uwe una-present facts na evidences kama ninavyofanya ndiomana nina followers kibao wanafuatilia points+hoja zangu👇👇Kiwanda Cha karatasi/ tissue paper ni SIDO ukitaka mkeka wa namna hiyo tutakesha. Hadi VETA
Followers uwapate wapi?. Platform Gani unayosemea una followers kuwa na akili. Kusoma komenti ya mtu hapa jf hakumaanishi huyo ni follower wako. Ubongo wako mdogo mno kila siku Huwa nakuambia. Unapenda kujitutumua kwa mambo usiyoyafahamuHuna ujualo zaidi ya ushabiki maandazi😀😀. Jitahidi uwe una-present facts na evidences kama ninavyofanya ndiomana nina followers kibao wanafuatilia points+hoja zangu👇👇
View attachment 3279041
Leta idadi ya viwanda vilivyoko Dodoma. Na hujui tunachokimaanisha bila shaka. Utaleta hadi machinjioVETA yazindua kiwanda cha kisasa cha samani jijini Dodoma
The Vocational Education and Training Authority (VETA) is an autonomous government agency established under the Vocational Education and Training Act, Chapter 82 charged with the duties of providing, financing and coordinating vocational education and training in the country.www.google.com
Masikini unaleta warehouse unasema viwanda ...alafu ,kinglion hata Mwanza zipo-Dragon
-Tianjin
-Kinglion
-ALAF
-ficha ujinga wako kama hujui kitu ni bora kuuliza,huku ni Jamiiforums sio Facebook 😀😀. Dodoma kulikua na viwanda vikubwa viwili "Quality Foam Limited a.k.a. magodoro dodoma" ambacho kiliungua moto na baada ya kulipwa Bima wakahamisha kiwanda Dar. Kiwanda kilichobaki kinaitwa Modern Mattress Manufacturing Limited a.k.a Magodoro Dodoma Asili👇👇
Mwamba umepiga kwenye mshono hawezi leta hiyo takwimu nipo hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Masikini unaleta warehouse unasema viwanda ...alafu ,kinglion hata Mwanza zipo
🤣🤣🤣Jengo gani la ghorofa kabla ya mwaka 2000 lilikua refu zaidi ya ghorofa nne ukitoa hospitali ya Bugando...🤣🤣🤣
😂😂😂unarukaruka sana kama bisi kikaangoni😄😄, kutoka hakukuwa na ghorofa hadi idadi ya floors 🤣🤣🤣🤣 hadi wagogo wenyewe wanakushangaa😳😳. sasa huu ni muda wa kuchutama, jengo la ccm mkoa ni refu zaidi ya ghorofa nne.Jengo gani la ghorofa kabla ya mwaka 2000 lilikua refu zaidi ya ghorofa nne ukitoa hospitali ya Bugando...🤣🤣🤣