ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Wewe una matatizo hotel bila parking ni sawa na godown tu.Hivi hiki kituko nacho hotel??Hivi gorofa ya rift ilianza 2000 na ngapi Mbeya??π€£π€£π€£
WivuWewe una matatizo hotel bila parking ni sawa na godown tu.Hivi hiki kituko nacho hotel??Hivi gorofa ya rift ilianza 2000 na ngapi Mbeya??π€£π€£π€£
Mwamba mwenye huu mzigo ni msukuma π€£π€£π€£
Mbeya ndio mkoa Pekee Hadi Leo Tanzania hii ilipofanyika sherehe ya uzinduzi wa elevator ππWewe una matatizo hotel bila parking ni sawa na godown tu.Hivi hiki kituko nacho hotel??Hivi gorofa ya rift ilianza 2000 na ngapi Mbeya??π€£π€£π€£
Mkumbushe hiyo view ni kilometer 20 kutoka cbd Nyamongo ni ilemela na Kisesa ni Magu alfu yeye huyo wa idodomya atuoneshe view ya kilometer 20 kutoka cbd.
Nawakumbushe wale wasioijua Bugando medical centre kama huyo choice anaysema bugando ni floor 4 ni hilo jengo linaloonekana .Narudia tena Tanzania hii hakuna Hospital kama bugando kwa facilities na nikweli muisrael alifanyakazi na haitakuwepo kwa nchi yenye upigaji kama Tanzania.
Chukua hapo Ilemela+ Capri Point hamfikii Itega.
View: https://www.instagram.com/p/DHy4INuA0Fw/?igsh=bGN2NzA5NjFxcDFkAngalia thamani ya ardhi mwanza vs Dodoma ndo ujifunze kitu. Karibu na ikulu viwanja vyenye thamani pengine mil. 250 hebu cheki madon wa mwanza wanavyojua kujifungua Mzee ChoiceVariable
Ndio Kwa sababu mlizoea kudanganya eti Mbeya haifai kujenga Majengo marefu kumbe mnajipendelea minyama.Mbeya ndio mkoa Pekee Hadi Leo Tanzania hii ilipofanyika sherehe ya uzinduzi wa elevator ππ
Unaijua hii? ππNawakumbushe wale wasioijua Bugando medical centre kama huyo choice anaysema bugando ni floor 4 ni hilo jengo linaloonekana .Narudia tena Tanzania hii hakuna Hospital kama bugando kwa facilities na nikweli muisrael alifanyakazi na haitakuwepo kwa nchi yenye upigaji kama Tanzania.
Wewe una matatizo na utani mwingi nakuomba itembelee bugando siku moja utaacha kuongea utumbo.Hiyo ni sawa na hodi moja pale butimba au jengo la mama na watoto Sekouture hospitalUnaijua hii? ππView attachment 3287652View attachment 3287653
Na nyumba zenu za mabati meupe. Tofautisha kati ya mansions na nyumba. Kuna kuishi na kukaa ni vitu viwili tofauti.Chukua hapo Ilemela+ Capri Point hamfikii Itega.
Mwisho Kwa nini hakuna Mitaa na Barabara? ππ
Tukuache ushindanishe mbeya na Dodoma au maana ni majiji yanayoendanaNdio Kwa sababu mlizoea kudanganya eti Mbeya haifai kujenga Majengo marefu kumbe mnajipendelea minyama.
Tulijenga na Sherehe ikafanyika na tukafungulia highrise buildings zingine View attachment 3287636View attachment 3287638View attachment 3287639View attachment 3287640View attachment 3287641View attachment 3287642View attachment 3287643View attachment 3287644View attachment 3287645View attachment 3287646View attachment 3287647View attachment 3287648View attachment 3287649View attachment 3287650
Tukuache ushindanishe mbeya na Dodoma au maana ni majiji yanayoendana
Huruma naona Mimi... Kuna majengo yamerudiwa zaidi ya mara nne na picha za angle tofauti tofauti..vighorofa vya floor nne anaita tower ... tofauti yenu na kahama ni. NinNdio Kwa sababu mlizoea kudanganya eti Mbeya haifai kujenga Majengo marefu kumbe mnajipendelea minyama.
Tulijenga na Sherehe ikafanyika na tukafungulia highrise buildings zingine View attachment 3287636View attachment 3287638View attachment 3287639View attachment 3287640View attachment 3287641View attachment 3287642View attachment 3287643View attachment 3287644View attachment 3287645View attachment 3287646View attachment 3287647View attachment 3287648View attachment 3287649View attachment 3287650