Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

ChoiceVariable Kuna mansions na Kuna nyumba. Hizi ni mansions, kwa usaidizi tu rotate Simu au image hizi ili uinjoi maisha ndugu yangu.na hii ni ilemela
 

Attachments

  • IMG_20250330_152032.jpg
    1.3 MB · Views: 20
Myahudi mteule wa bwana alitujengea Bugando Mwanza ni jiji safi
 
Choice soma hicho kibao hilo jengo la gorofa sio ofisi za serikali kama kule mtumba,hiyo ni nyumba ya mtu ya kuishi na haiko ilemela,capri point,bwiru au Nyasaka tabasamu hiko Nyasaka ppf nataka nikwambie tu kwamba mwanza sio watu wa nyumba za msaada za Nhc au nyumba za punguzo.HIVYO vinyumba vya Dodoma ni kama kambi ya SGR kwa Mwanza
 

Attachments

  • 20250331_065743.jpg
    568.3 KB · Views: 21
  • 20250331_065816.jpg
    442.6 KB · Views: 26
  • 20250331_065535.jpg
    692.7 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…