ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Mbeya tuna deal na vitu vya maana kama viwanda vya Madini.Manispaa ya ilemela inaichakaza mbeya zizi vibaya mnoView attachment 3287932
View attachment 3288210View attachment 3288212vitu vya uhakika, Raia wanaonyesha misuli Yao.
Hakuna kitu hapo ni vitu vya kawaida sana unatumia nguvu kubwa kuikuza ukameni village na kunishawishi lakini sijapaelewa hapo bush πππππ€£π€£
Kama ni vitu vya kawaida tuoneshe kutoka huko chokoraa City dwellers wa Mwanza ππHakuna kitu hapo ni vitu vya kawaida sana unatumia nguvu kubwa kuikuza ukameni village na kunishawishi lakini sijapaelewa hapo bush πππππ€£π€£
Picha Moja tambo mia Saba.Kama ni vitu vya kawaida tuoneshe kutoka huko chokoraa City dwellers wa Mwanza ππ
Dom HQ yenye vitu vya kawaida ππππView attachment 3293562View attachment 3293563View attachment 3293564View attachment 3293565
Nyumba ndogo ndogo za kimasikini. Sijawahi kufikiria kuzipenda hata mwanza zipo kisesa jomba na wadau hatuoni kama zinasifa ya kutufanyia tulinge nazo kwenye platform hii ya watu waelewa.
Picha zile zile tu ushamba mzigo mkubwa sana πππtembea uone duuuhhKama ni vitu vya kawaida tuoneshe kutoka huko chokoraa City dwellers wa Mwanza ππ
Dom HQ yenye vitu vya kawaida ππππView attachment 3293562View attachment 3293563View attachment 3293564View attachment 3293565
Itawachukua miaka 100 kwa Mwanza kupata "proper planning" kama hii....Dom ni SI unit ya jinsi Jiji linapaswa kupangiliwa master plan kisasaKama ni vitu vya kawaida tuoneshe kutoka huko chokoraa City dwellers wa Mwanza ππ
Dom HQ yenye vitu vya kawaida ππππView attachment 3293562View attachment 3293563View attachment 3293564View attachment 3293565
Picha zile zile tu ushamba mzigo mkubwa sana πππtembea uone duuuhh
Mnajitutumua Mbeya ya Dom HQ ππππKijana ametoka dar, akapita dodoma mkoa uliojaa ukame, alipotua tu mwanza na haya ndiyo yakawa maoni yake.View attachment 3294127
Acheni kulinganisha Mwanza jiji na hiyo manispaa.View attachment 3294153
Kuna mtu humu alisema eti Dodoma ni tambarare hakuna milimaππ..hicho ninachokiona background ni nini .Mnajitutumua Mbeya ya Dom HQ ππππ
View: https://x.com/bbcswahili/status/1908520016850415989?t=WQ-EOZuFj1c2AZb2YG4BeA&s=19View attachment 3294386View attachment 3294387View attachment 3294388
Hakuna kitu hapo ukameni village π π π π π mwanza nchi nyingineKuna mtu humu alisema eti Dodoma ni tambarare hakuna milimaππ..hicho ninachokiona background ni nini .
ππNina uhakika hii milima ingekua ipo Mwanza tayari ingekua ni "full squatter settlements"π€£π€£
View: https://www.instagram.com/p/DIEy-_7qynn/?igsh=MTMxbXBuM2l6emFhdQ==