Unachekesha sana aiseee.....hivi maghorofa yote yaliyopo Dom kwamfano mtaa wa biashara wa One-way,barabara ya 6-10,Uhindini-Chef Asili,MjiMpya, Ilazo, Kisasa,Medeli,Area A n.k yamejengwa na serikali au raiaππView attachment 3295100sisi tunaleta vitu ambavyo raia wanafanya. Hatutambi na miradi ya serikali muwe mnaelewa. Uchumi hupimwa na uwezo wako wewe siyo serikali.
Unataka nikujibu?Unachekesha sana aiseee.....hivi maghorofa yote yaliyopo Dom kwamfano mtaa wa biashara wa One-way,barabara ya 6-10,Uhindini-Chef Asili,MjiMpya, Ilazo, Kisasa,Medeli,Area A n.k yamejengwa na serikali au raiaππ
View: https://www.instagram.com/p/DIG4Gt9NPZ6/?img_index=1&igsh=MWx0d2wzOGwzYXl3cQ==
UnawewesekaPicha Moja tambo mia saba
Kula chuma hicho kwanza uondoe wengeUnaweweseka
Nimepamisi mwanza sana nyumbani nilikozaliwa naona vitu vipya tu ukameni village wanawewesekaππππView attachment 3295100sisi tunaleta vitu ambavyo raia wanafanya. Hatutambi na miradi ya serikali muwe mnaelewa. Uchumi hupimwa na uwezo wako wewe siyo serikali.
Au siyo? ππNimepamisi mwanza sana nyumbani nilikozaliwa naona vitu vipya tu ukameni village wanawewesekaππππ
Kula chuma hicho kwanza uondoe wenge
Naona Mawe tuu hapo
Hutp tugorofa twa kuokoteza hata Sumbawanga tupoView attachment 3295100sisi tunaleta vitu ambavyo raia wanafanya. Hatutambi na miradi ya serikali muwe mnaelewa. Uchumi hupimwa na uwezo wako wewe siyo serikali.
Vitu vidogo sana hivi kwa mwanza kwa mshamba kama wewe unaona maajabuπππππ
Upo serious kabisa tuanze kushusha vitu hapa