Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kwenye sekta ya hotel Dodoma ijitafute sana nakubaliana na miundo mbinu ya Barabara kwamba wapo juu kwa sasa.
 
Kwenye sekta ya hotel Dodoma ijitafute
Ukitoa Dar,Arusha na Zanzibar pekeyake Dom hawakamatiki kwenye uwingi+uwekezaji wa mahoteli. Kizuri zaidi the business is booming ...kipindi cha mikutano ya Bunge,CCM na taasisi nyingine hoteli za Dom huwa zinafurika mpaka wateja wanaenda kutafuta hoteli za miji ya jirani mfano Kondoa,Bahi,Chamwino n.k.

Mfano wa wawekezaji wakubwa ni Shabiby/ MORENA HOTEL anajenga hoteli nyingine kubwa pembezoni na ya mwanzo ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Tuanze ligi kama unayoyasema ni ya kweli uwanja ni wetu sote, halafu hupaswi kuongea vitu kama huna uhakika navyo.
 
Isamilo hotel, endelea kujitafuta mpaka uthibitishe kauli yako
 
Hotel unazowez kunishawi Dodoma ni
1. Best western Dodoma city hotel
2. Nashera hotel
3. Eastern city hotel
3.rafiki Dodoma hotel
4. Hotel esperanza
5. Adden hotel
6. Kwa mbaali morena hotel

Hawa akina
1. Lastanar hotel
2. Dodoma hotel
3. Verde view hotel
4. Mlimwa
Wa kawaida sana
 
Shida hujawahi kufika Dom unaishia kugoogle..ungekua umewahi kukanyaga kwenye hoteli mojawapo mfano wa hizi ndio ungesema ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
-The Residence
-African Dreams
-Royal Village
-Domiya Estate
-Vizzano
-St Gaspar
-Dear Mama
-Golden Crown
-Mesuma
-Four Points
-Ambassadors
-Inoga
-Dodoma Grand
-Zabibu
-DM
-Midlands
-Spring Hills
-Kilimani Landmark
-City Boys
-Saanan
N.K

NARUDIA TENA KITU PEKEE MWANZA MNACHOWAZIDI DOM NI UWINGI WA WATU NA SAMAKI BASI๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…...VIGEZO VINGINE VYOTE KWA SASA MKIJILINGANISHA HAMUWAFIKII HATA ROBO HUO NDIO UKWELI MCHUNGU
 
Wewe acha kuifanya Dodoma kama sehemu ya kipekee sana kwamba unaifahamu peke yako. Usichokijua ni kuwa Kuna hotel na lodge. Nmekupa kazi ya leta hotel Moja Moja tujibizane usiwe na maneno mengi mdomoni. Dodoma si ya kwako peke yako bro. Hapa tunafurahishana lakini twende na uhalisia.
 
Unataka kubishana kwa maneno maneno ndo Nini sasa. Jinsia Pekee inayofaa kubishana kwa maneno matupu ni ya kike. Mwanaume lazima uonyeshe uhalisia wa msimamo wako. Perepeche nyingi halafu kwa ground hatuoni kitu. Sasa tuko kwenye thread mlioanzosha wenyewe tunataka m-prove ulichokidai hapa. Ukiwa unasoma komenti zangu tuliza akili ili uwe unaelewa. Maana ni wewe huyu huyu uliboronga suala la viwanda nikakuwepa kapuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ