ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Hii ni render sio project.Sie tuna komaaa na wananzengo tu, project mpya mjiniView attachment 3345090
Kwa ubora wa Dom mipangomiji +miundombinu ...Mwanza kuifikia DOM kimapato(halmashauri+TRA) ni ndoto za mchana ππUwanja wa ndege vs Daraja la JPM ni structure ipi itaongeza Mapato Kwa Jiji miaka 5 ijayo?
Tusubirie tuone ila na uhakika Dom itafikisha own source zaidi ya Bilioni 100 kabla ya 2030 hulu Mwanza hata kufikisha Bil.60 itakuwa ni ndoto ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DJ8vjwysCGa/?igsh=MW9iaWVveGxwaGx6dQ==
Hswatakuja kusogeza pua hata siku Moja mbele ya Dom HQKwa ubora wa Dom mipangomiji +miundombinu ...Mwanza kuifikia DOM kimapato(halmashauri+TRA) ni ndoto za mchana ππ
View: https://www.instagram.com/p/DKHvrS4M7hM/?igsh=N3BtYmxndGlhZXRl
Subiri Mikdde aje kukwambia hizo data ni fake....πππHswatakuja kusogeza pua hata siku Moja mbele ya Dom HQ
View: https://youtu.be/ooS44dKUuhI?feature=shared
Kwa Sasa Ligi ni Mwanza vs Mbeya naona Dom is untouched na Arusha imeshawapiga teke.
Ataomboleza sana mwaka huu ππSubiri Mikdde aje kukwambia hizo data ni fake....πππ
Na hii background ndio Jengo la CCM HQ yaani Dom Kutanoga π₯π₯
Sasa Kila Siku serikali inaiwazia Dodoma na Dar kwa Kila kitu unadhani Arusha, Mwanza na Mbeya zinazojimbania Kila Siku wanaweza kucheza nao ligi moja? .Dom Iko ligi Moja na Dar,nyie wengine pambaneni na loosers wenzenu ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DKHvrS4M7hM/?igsh=YWNqdWE5am51cTRq
Arusha ni Kati ya Mikoa inayopendelewa.Sasa Kila Siku serikali inaiwazia Dodoma na Dar kwa Kila kitu unadhani Arusha, Mwanza na Mbeya zinazojimbania Kila Siku wanaweza kucheza nao ligi moja? .