ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Vitu Dom inamilili,Mwanza is Slum will keep on dreaming ππ
View: https://www.instagram.com/p/DFmfHkNIzMN/?igsh=MTJnazYyZjRyNzBweg==
Nimevutiwa tu na ilo jina la CHAWA SECONDARY.Bado hujasema Hadi useme π π π π
View: https://www.instagram.com/p/DJ_7GSLsZe1/?igsh=MXg2bXcxcXQ5OHh2eQ==
Maduhuli yatokanayo na ujenzi na uwekezaji taasisi za kiserikali na ujenzi wa majengo ya wizara, huu mnyororo unaongeza mapato ya halmashauri lakini hayana uhalisia kwa mwanachi matonya wa Dodoma, na yangekuwa yana msaada hakika dodoma isingekuwa inashika mkia kwa umaskini uliotopea nchini Tanzania, uwekezaji wa serikali hauakisi maisha halisi ya mwananchi wa Dodoma, poleni sana.Kwa ubora wa Dom mipangomiji +miundombinu ...Mwanza kuifikia DOM kimapato(halmashauri+TRA) ni ndoto za mchana ππ
View: https://www.instagram.com/p/DKHvrS4M7hM/?igsh=N3BtYmxndGlhZXRl
Nyie ndio mnakuja kuolewa na wanaume wenzenu, hayo mabasi ya huyo jamaa yana impact gani kwa mwanachi wa dodoma au taifa kwa ujumla, kanda ya ziwa kuna matajiri wangapi wa mabasi lakini shobo kama hizi ulishawahi kuziona..
Zamani mikutano kama hii kitaifa ilikua inafanyika kwa wingi Dar,Arusha na Bagamoyo ila kwa sasa Dom naona wanaenda ku-overtake kilakitu..ππ