Uhakika nakubaliana na wewe, Mpaka sasa Mwanza CBD NHC wana sites kama 18 za ubia halafu zote ni 9f above, ghana, kirumba, Nyamhongoro, kiseke, Nyegezi moto unawaka, hapa tunasubiri watie saini mkataba wa dual carriage wa mwanza zero mpaka kuunga darajani, km37Shida yenu nikudhani Mwanza imesimama 🤣🤣🤣kwasababu ya kelele za wanasiasa.Mwanza moto wake huko pale pale sema tu haya mambo kwa Mwanza ni kawaida na vigorofa kama hivyo vinamilikiwa na vijana wadogo kabisa.
Hii Thread inahusu Dom Jiji vs Mwanza Jiji sio mkoa wa Dodoma vs mkoa wa Mwanza usijitoe ufahamu.Chuki ni kitu kibaya sana, Usije ukafikiri Mwanza kumepoa kijana,Basi Sengerema na Misungwi zipo Burundi,
Dom watakua na viwanja vitatu vikubwa 1.Msalato 2.Cha City Centre 3.cha Ikulu meanwhile Mwanza wao uwanja wao mmoja tu sijui ni lini wataupanua kilasiku siasa tu tangu enzi za Magufuli 😂😂
Hii itakuwa Palestine sio Tanzania🤣🤣🤣 .Hivi kwa hali hii watu wako hai kweli ??yaani wanapata oxygen ya kutosha??mazingira utadhani kumepigwa bomo la nuclear🤣🤣🤣Kila siku tunahubiriwa humu Dodoma imepangwa, View attachment 3368764
DuhHii itakuwa Palestine sio Tanzania🤣🤣🤣 .Hivi kwa hali hii watu wako hai kweli ??yaani wanapata oxygen ya kutosha??mazingira utadhani kumepigwa bomo la nuclear🤣🤣🤣
Hatari sana, zile barabara unganishi za kutoka daraja zile 3 by 3,zikifika usagra, then mwanza Zero, Road itavutia vibaya sana kuzidi hii Outerring ya jangwaniHii itakuwa Palestine sio Tanzania🤣🤣🤣 .Hivi kwa hali hii watu wako hai kweli ??yaani wanapata oxygen ya kutosha??mazingira utadhani kumepigwa bomo la nuclear🤣🤣🤣
Mwanza mnaumia kimya kimya 😆😆👇👇Kila siku tunahubiriwa humu Dodoma imepangwa, View attachment 3368764
Uki zoom hiyo picha hakuna uswazi kama wa MwanzaHii itakuwa Palestine sio Tanzania🤣🤣🤣 .Hivi kwa hali hii watu wako hai kweli ??yaani wanapata oxygen ya kutosha??mazingira utadhani kumepigwa bomo la nuclear🤣🤣🤣
Inawezekana hujawahi kufika Dom ndiomana hujui maana ya "outer city ring road" 😂😂 Dom ndio jiji pekee Afrika Mashariki na Kati lililopimwa na kupangiliwa kwa zaidi ya asilimia 90 .Imagine tangu enzi za Nyerere wameanza kulipangilia sasa utalinganishaje na uchafu/takataka za Mwanza😂😂 Mwanza kuna mitaa ukifika mpaka unajiuliza hivi huku hakuna idara ya mipangomijiKila siku tunahubiriwa humu Dodoma imepangwa, View attachment 3368764
90% ya Dom ni planned hayo yote ni uhakika 💯na wapi kuna fire brigade (zimamoto) mpya inajengwa kuhudumia wananchi? vp maji ya kunywa, parks za kupumzikia na na viwanja vya watoto kucheza? …
90% ya Dom ni planned hayo yote ni uhakika 💯
Fire ni kama inakaribia kukamilika
Mkuu ukisikia planned city ya mfano katika Afrika basi ni Dodoma hapa hatuongelei ushabiki tunaongelea uhalisia.Dodoma hata ikitokea ajali ya moto popote pale mtaani gari za zimamoto zinafika baada ya dakika chache na kuzima moto haraka hii ni kutokana na mpangilio mzuri wa mipangomiji, barabara na makazi ya watu kufikika kwa urahisi.wapi inajengwa na ngapi zinajengwa? una picha? isijekuwa fire moja kuhudumia mji mzima kama ilivyo dar, isitoshe kuna park yoyote ya wananchi kupumzika kwenye hiyo plan yao? play grounds za watoto na vijana, hayo ndiyo mambo ya msingi amnayo ni muhimu na siyo maghorofa …
Mkuu ukisikia planned city ya mfano katika Afrika basi ni Dodoma hapa hatuongelei ushabiki tunaongelea uhalisia.Dodoma hata ikitokea ajali ya moto popote pale mtaani gari za zimamoto zinafika baada ya dakika chache na kuzima moto haraka hii ni kutokana na mpangilio mzuri wa mipangomiji, barabara na makazi ya watu kufikika kwa urahisi.
Ndiomana huwezi kusikia hata sikumoja kwamfano itokee ajali ya moto na kusababisha madhara makubwa Dom tofauti na miji mingine.
Sio kweli kwa apa Dar mitaa mingi ya uswahilini ndani ndani huko mfano Buguruni,Kigogo,Temeke,Mabibo,Mburahati,Kiwalani nk gari la Zimamoto haliwezi kupita ndiomana ikitokea ajali ya moto madhara huwa ni makubwa sana kutokana na ujenzi wa makazi holela yasiyozingatia mipangomiji kama wenzao wa Dodoma.swali ni kwamba kuna vituo vya fire vingapi kwa mji wote, kwani hata dar fire inafika pia karibia popote lkn swala ni
Kwa kukusaidia tu Dodoma imeanza kupangiliwa tangu enzi za Nyerere ndiomana miji mingine walikuja kujifunza ubora wa mipangomiji kutoka kwa iliyokua CDA(mamlaka ya ustawishaji makao makuu). Hivyo vyote ulivyotaja vipo vimejaa ..Dodoma ni SI unit ya mipangomiji kwa Tanzania hii na tukiacha ushabiki miji mingine inapaswa kwenda kujifunza.swali lingine la nyongeza siijui dodoma city lkn ningependa kujua kuna park ya watu kupumzika ? au botanical garden? miji yote ya tanzagiza iliyojengwa na wakoloni kuna botanical garden, parks na sehemu