ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Unaongea kutoka mdomoni au kwenye takwimu?Mwanza kwa sasa inaweza ikawa ya tatu kutoka Dar. Dodoma inaweza shika nafasi ya pili.
Lakini ukweli ni kwamba Mwanza imeiacha Arusha parefu sana sana....
Ni hayo tu
Huu 👇 ujazo wa CBD Za Arusha na Mwanza, Dodoma bado haijauvuka, hii inahitaji macho yako tu kuonaWeka facts Wacha masimulizi yasiyo na mashiko.
Wewe unaona Dom HQ ni mji uliojikusanya sehemu Moja?Huu 👇 ujazo wa CBD Za Arusha na Mwanza, Dodoma bado haijauvuka, hii inahitaji macho yako tu kuona
Mwanza
View attachment 3387365View attachment 3387367View attachment 3387370View attachment 3387376Arusha
View attachment 3387369View attachment 3387371View attachment 3387377
Halafu hii Mbeya usiwe unaitaja kwenye ligi za wakubwa maana iko level za kushindanishwa na miji ya kawaida na sio Majiji na inaweza isitoboeUnaongea kutoka mdomoni au kwenye takwimu?
Dar
Dom
Arusha
Mwanza
Mbeya
Unapokutana na mtu cha kwanza ili uweze kumtathimini lazima umtazame usoni bila shaka 😂😂 baada ya hapo unaangalia na sehemu zingine za mwiliWewe unaona Dom HQ ni mji uliojikusanya sehemu Moja?
Sawa hao qamwjikusanya,vipi ukitoka Nje ya CBD unakutanaga ni vitu gani?
Mwisho CBD ndio takwimu za maensiya Jiji?
Big 3 unamaanisha nin au ukubwa upi ? Tofautisha mji mkubwa na mji mzuri Mimi naona ni vitu viwili havifananiSasa hapa mbona ni wewe ndio unaonesha kuwa na shida ya ufahamu? Unaweza kuonesha ni wapi nimetamka kuwa Dodoma ni jiji Bora kuliko majiji yote Tz na Kenya? Kama unashindwa kutofautisha ushindani wa MAJIJI na ule wa MIKOA, ni wazi una shida mahali, hapa hatulinganishi MIKOA.
Kwangu ni
Nairobi
Dar
Mombasa
Kisha kwa mbali sana yanafuatiwa na
Mwanza, Dom, Arusha, Kisumu, nk
Miaka 10 nyuma Dom ilikuwa haitoshi kulinganishwa hata na Tanga, huoni ajabu Leo inapambanishwa na Mwanza? Miaka 20 mbele Dom itakuwa inacompete na Mombasa sio Mwanza tena, kuingia Big 3.
Shida yako unaleta hisia pasipohitajika. Baki na mihemko yako.
Hiyo ni Lugha tu ndugu, hata katika mikoa midogo kuliko yote tunaweza kupata Big 3 kama tunavyoweza kupata Big 3 ya mikoa mikubwa kuliko yote.Big 3 unamaanisha nin au ukubwa upi ? Tofautisha mji mkubwa na mji mzuri Mimi naona ni vitu viwili havifanani
Mfano pia, Tuna BIG 5 ya wanyama pori katika Africa, ambao ni Tembo, Simba, Nyati, Kifaru na Chui. Hao hutambulika kama The Big 5 animals.Big 3 unamaanisha nin au ukubwa upi ? Tofautisha mji mkubwa na mji mzuri Mimi naona ni vitu viwili havifanani
Ziweke hapa takwimu zako tuzione wote... Weka akilini mwako, Arusha kwa Mwanza bado sana kaka. Tusicomment kiushabikiUnaongea kutoka mdomoni au kwenye takwimu?
Dar
Dom
Arusha
Mwanza
Mbeya
-Takwimu za msingi ni Mapato ya Jiji ,Mwanza inazidiwa na hao wote kasoro Mbeya.Ziweke hapa takwimu zako tuzione wote... Weka akilini mwako, Arusha kwa Mwanza bado sana kaka. Tusicomment kiushabiki
Dodoma imeiacha mwanza katika angle ipi mkuu?Mwanza kwa sasa inaweza ikawa ya tatu kutoka Dar. Dodoma inaweza shika nafasi ya pili.
Lakini ukweli ni kwamba Mwanza imeiacha Arusha parefu sana sana....
Ni hayo tu
Kama Arusha takwimu zote zinaibeba alafu GDP ni zero sasa yote hayo ya nini.??Ni sawa na ile twafungwa lakini chenga twawala🤣🤣🤣hata hiyo Dodoma kwa Mwanza bado sana.Kipimo cha uchumi kinachokubaliki Duniani ni GDP.Hayo yote output yake ni GDP.Dodoma inazidiwa na Morogoro na Arusha inazidiwa na Mbeya na Mwanza inazidiwa na Dar peke yake nchi hii hayo mengine ni kelele tu.-Takwimu za msingi ni Mapato ya Jiji ,Mwanza inazidiwa na hao wote kasoro Mbeya.
-Takwimu za TRA Mwanza inazidiwa na hao wote kasoro Mbeya.
-Magorofa ,Mwanza inazidiwa na wote
-Miundombinu halikadhalika
-Kwenye uwekezaji ndio kabisaa
Data zote hizi tumeziweka sana humu.
Kitu pekee kinaokoa Mwanza ni population size na GDP ya Mkoa which mainly not worthwhile.
Hata mimi nimeuliza Hii miji inashindanishwa katika angle ipi?Big 3 unamaanisha nin au ukubwa upi ? Tofautisha mji mkubwa na mji mzuri Mimi naona ni vitu viwili havifanani
Naona tunachanganya kingereza na kisw kati ya Tz na Kenya mji mkubwa ni Dar inafuata Nairobi ila mji mzuri ni Nairobi ..Kwa afrika mashariki mji mkubwa ni Kinshasa inafuata dar ok sijui nyie mnabishana ila Mimi najua hivyoHiyo ni Lugha tu ndugu, hata katika mikoa midogo kuliko yote tunaweza kupata Big 3 kama tunavyoweza kupata Big 3 ya mikoa mikubwa kuliko yote.
Tuna Big 3 ya Top Best Cities vilevile tuna Big 3 ya Majiji duni/mabaya.
Ondoa dhana ya kuwa inapotajwa Big duniani basi humaanisha tu size, HAPANA.
Big 3 ya Kenya na Tz kwa sasa ni Nairobi, Dar na Mombasa. Japo Dar ni populated and wide kuliko Nairobi.
Maana ya BIG 3 in "The most 3 prominent " au "The best 3 at..... ." Hapo neno BIG halijatumika kama Kigezo kilinganishi.Naona tunachanganya kingereza na kisw kati ya Tz na Kenya mji mkubwa ni Dar inafuata Nairobi ila mji mzuri ni Nairobi ..Kwa afrika mashariki mji mkubwa ni Kinshasa inafuata dar ok sijui nyie mnabishana ila Mimi najua hivyo
Kitu pekee Mwanza ilichozidi Dom ni population hilo halina ubishi .Vigezo vingine vyote vya kupima ubora wa majiji kuanzia miundombinu,mipangomiji,huduma za kijamii,mapato TRA+halmashauri,uwekezaji,miradi n.k Mwanza ikashindane na Mbeya labda Dom ni level nyingine kwa sasa.Dodoma yenu haitakuja iiguse Mwanza hata siku moja
1.kiuchumi
2.Uzuri wa mji pamoja na hali ya hewa
3.populations
4.Neighbourhood
Na mambo mengine mengi, Mwanza mji umechangamka kila kona, Ukitoa kariakoo Dar es salaam, eneo jingine hapa nchini mithiri ya kariakoo utaikutaa Mwanza, Lumumba street, pia CBD ya Mwanza imesambaa kama sehemu tano hivi, kitu ambacho huwezi kuta Dodoma,
Pale slum dweler wa Butimba akijifariji 🤣🤣🤣👇👇Dodoma yenu haitakuja iiguse Mwanza hata siku moja
1.kiuchumi
2.Uzuri wa mji pamoja na hali ya hewa
3.populations
4.Neighbourhood
Na mambo mengine mengi, Mwanza mji umechangamka kila kona, Ukitoa kariakoo Dar es salaam, eneo jingine hapa nchini mithiri ya kariakoo utaikutaa Mwanza, Lumumba street, pia CBD ya Mwanza imesambaa kama sehemu tano hivi, kitu ambacho huwezi kuta Dodoma,
GDP sio pesa.Kama GDP ni worthwhile basi Mbeya imewazidi wote hao.kianzia kina Arusha,Dodoma etc lakini vipi kwenye macho Yako ndivyo ilivyo? 😁😁Kama Arusha takwimu zote zinaibeba alafu GDP ni zero sasa yote hayo ya nini.??Ni sawa na ile twafungwa lakini chenga twawala🤣🤣🤣hata hiyo Dodoma kwa Mwanza bado sana.Kipimo cha uchumi kinachokubaliki Duniani ni GDP.Hayo yote output yake ni GDP.Dodoma inazidiwa na Morogoro na Arusha inazidiwa na Mbeya na Mwanza inazidiwa na Dar peke yake nchi hii hayo mengine ni kelele tu.
-Miundombinu yote ya kiuchumi unayoijua.Dodoma imeiacha mwanza katika angle ipi mkuu?