Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Zingatia mada Dom CC vs Mwanza CC
Huyo "illiterate" huwa anajitoa ufahamu kujaribu kujifariji...kilasiku tunamwambia azingatie content na context ya hii thread yeye anatuletea vichekesho, ndiomana huwa tunamshauri akaanzishe thread nyingine ya kulinganisha Dom RC vs Mwanza RC tuone kama atapata comments ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
 
Baada ya vikao vya bunge ,,wanakuja Jiji la upepo mwanana ...huko kwenye vumbi nani abaki
View attachment 3418455
Ndicho kilichobaki kwa Mwanza kujifariji..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚eti Ziwa , hata Musoma na Kigoma lipo

Mwanza pambaneni kwanza mfike angalau nusu ya ubora wa Dom sio kilasiku kulilia tu ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

 
He is moron... mwanza Kuna SAUT inatoa kozi ya sheria..pia Kuna DIT
 
Uzi una miaka mitatu sasa na sikuwahi kuitembelea Mwanza kwa kipindi cha Miaka miwili ipasavyo sio kwamba nilikuwa siendi, nimeenda snaa ila ni ile inajikuta ni siku mbili tatu ns kufanya mambo yalionipeleka na kusepa tu (Nipo kanda ya kati kwa sasa kikazi zaidi)


Sasa karibia wiki mbili niko Mwanza na nimeweza kuzunhuka kidogo na kujionea Mji vizuri pengine kuliko kipindi chochote kile nikiri tu lichabua maendeleo makubwa sana na ya haraka ambayo Dodoma anayo kwasasa Bila Tashwishwi nasema Dodoma CBD bado sana Kwa Mwanza hii ubishe usibishe labda tuwe tunataka kubishana tu nafikiri tuipe miaka 7 hadi 10 tena kama Mungu atatujali uhai tena ndio tuje tutizame upya

LIcha ya kuwq Mwanza bado yuko far ahead kwa Dodoma ila kuna vitu baadhi anakosa kama Akiweza kuvipata basi Dodoma tutaipa tena 20 years amfikie Mwanza
 
Weekend iliyopita nilikuwa hapo Dodoma, lakini hamna maajabu niliyoona badae nikaelekea daslamu ule mji nao asilimia kubwa sehemu nilizotembelea ni harufu za chemba kwa kwenda mbele, itoshe kusema Mwanza ni pazuri sana.
Kupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi...
 
Dodoma CBD bado sana Kwa Mwanza
hebu tuangalie hivi vigezo tuone ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
๐Ÿ‘‰MTANDAO MPANA WA BARABARA ZA LAMI(Kwa Mwanza tatizo la barabara ni la miaka nenda rudi tangu Mwanza itangazwe kuwa jiji mwaka 2000 mpaka leo barabara ni changamoto hata barabara zinazoingia citycentre ni finyu na kusababisha msongamano wa magari) Ukija kwa Dom hawa wamependelewa lami ni kila kona na bado wanazidi kujengewa nyingine mfano RingRoad ..ukifika city center barabara zisizo na lami unazitafuta kwa tochi
๐Ÿ‘‰UBORA WA MIPANGOMIJI ...hili halina ubishi kwa Tanzania hii hakuna mji wowote uliojengwa na kupangiliwa vizuri kama Dodoma. Ukifika Mwanza ukitoa Kapri Point mitaa mingi iko hovyohovyo tu mfano Mabatini mpaka unajiuliza hivi huku hakuna Idara ya Mipangomiji
๐Ÿ‘‰MAGHOROFA+SKYSCRAPERS ...Dom wamewazidi mbali sana kwa sasa Mwanza ,Idadi ya maghorofa ya UDOM na Magufuli City pekeyake ni sawa na idadi ya maghorofa ya Mwanza City Centre na hapo bado sijakutajia maghorofa mengine ya Serikali pale Tambukareli NCC,ya Medeli,ya Kisasa,ya Ilazo,ya Miyuji Proper,ya Kilimani(Kwa Waheshimiwa), ya City Center,ya One-Way Mji Mpya n.k.
๐Ÿ‘‰UWEPO WA TAASISI+MASHIRIKA MENGI YA KITAIFA NA KIMATAIFA ..Ukitoa Dar jiji linalofuata ni Dom

Kwa ujumla kitu pekee Mwanza wanaizidi Dom ni population hilo halina ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ