ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Haka kamji ni hovyo sana hakanaga jipya , hakabadiliki picha hizi ni zile zile all over ππ
Population yenyewe Sina hakika kama kufikia 2025 Bado Mwanza itakuwa mbele ya Dom Kwa sababu population growth ya Dom ni zaidi ya 3.9% wakati huko Mwanza is Slum hata 2.5% haipo.hebu tuangalie hivi vigezo tuone ππ
πMTANDAO MPANA WA BARABARA ZA LAMI(Kwa Mwanza tatizo la barabara ni la miaka nenda rudi tangu Mwanza itangazwe kuwa jiji mwaka 2000 mpaka leo barabara ni changamoto hata barabara zinazoingia citycentre ni finyu na kusababisha msongamano wa magari) Ukija kwa Dom hawa wamependelewa lami ni kila kona na bado wanazidi kujengewa nyingine mfano RingRoad ..ukifika city center barabara zisizo na lami unazitafuta kwa tochi
πUBORA WA MIPANGOMIJI ...hili halina ubishi kwa Tanzania hii hakuna mji wowote uliojengwa na kupangiliwa vizuri kama Dodoma. Ukifika Mwanza ukitoa Kapri Point mitaa mingi iko hovyohovyo tu mfano Mabatini mpaka unajiuliza hivi huku hakuna Idara ya Mipangomiji
πMAGHOROFA+SKYSCRAPERS ...Dom wamewazidi mbali sana kwa sasa Mwanza ,Idadi ya maghorofa ya UDOM na Magufuli City pekeyake ni sawa na idadi ya maghorofa ya Mwanza City Centre na hapo bado sijakutajia maghorofa mengine ya Serikali pale Tambukareli NCC,ya Medeli,ya Kisasa,ya Ilazo,ya Miyuji Proper,ya Kilimani(Kwa Waheshimiwa), ya City Center,ya One-Way Mji Mpya n.k.
πUWEPO WA TAASISI+MASHIRIKA MENGI YA KITAIFA NA KIMATAIFA ..Ukitoa Dar jiji linalofuata ni Dom
Kwa ujumla kitu pekee Mwanza wanaizidi Dom ni population hilo halina ubishi
Ulikotoka ukiona maajabu gani? ππWeekend iliyopita nilikuwa hapo Dodoma, lakini hamna maajabu niliyoona badae nikaelekea daslamu ule mji nao asilimia kubwa sehemu nilizotembelea ni harufu za chemba kwa kwenda mbele, itoshe kusema Mwanza ni pazuri sana.
Wivu ni mbaya sana ..Haka kamji ni hovyo sana hakanaga jipya , hakabadiliki picha hizi ni zile zile all over ππ
Naona slums tuu kule background ππ
Subiri waje kukwambia eti maghorofa yote ya Dodoma yamejengwa na Serikali....ukiwauliza kwamfano hivi ile mitaa ya kibiashara ya One-Way Serikali imejenga yale maghorofa!!?π€£π€£Naona Unaumia Ukiwa kirumba slum ππππ
Dodoma inajengwa na Serikali ππ
Vijighorofa vya one way hata kahama vipo ....hamna ghorofa za maana ...Subiri waje kukwambia eti maghorofa yote ya Dodoma yamejengwa na Serikali....ukiwauliza kwamfano hivi ile mitaa ya kibiashara ya One-Way Serikali imejenga yale maghorofa!!?π€£π€£
Mwanza imedumaaVijighorofa vya one way hata kahama vipo ....hamna ghorofa za maana ...
Mwanza ni mbaya na imedumaa.Wivu ni mbaya sana ..
Unayasema ukiwa kwenye vumbi na upepo wa baridi kavu ...ngozi imepaukaView attachment 3421304
Kwahiyo hizo ndo ghorofa na skyscrapers za dodoma au kuna nyingine??π€£π€£π€£ Ngoja nikuwekee kipande kidogo cha Mwanza iliupunguze mbwembwe.Alaa kwamba Kila siku Iko hivyo hivyo au siyo?
Na hii hapa ni nini? ππView attachment 3421260View attachment 3421261View attachment 3421262View attachment 3421263View attachment 3421264View attachment 3421265View attachment 3421267View attachment 3421268View attachment 3421269View attachment 3421271View attachment 3421272View attachment 3421273View attachment 3421274View attachment 3421275View attachment 3421276View attachment 3421277
Mwanza ni mbaya na imedumaa.
Kuna hata shopping mall hata huko?
Ndio maana nakwambia Mwanza imedumaa yaani hii CBD haijawahi badilika unlike Dom Kila siku inakuwa Mpya.Kwahiyo hizo ndo ghorofa na skyscrapers za dodoma au kuna nyingine??π€£π€£π€£ Ngoja nikuwekee kipande kidogo cha Mwanza iliupunguze mbwembwe.View attachment 3421537View attachment 3421538
Shida yako unataka tukuchambulie jengo moja moja kama Dodoma mnavyofanya kwa Mwanza haiwezekani majengo mapya ni mengi kila mtaa.Hiyo kazi ya kuokota okota tunawaachia nyinyi.Ndio maana nakwambia Mwanza imedumaa yaani hii CBD haijawahi badilika unlike Dom Kila siku inakuwa Mpya.
Skyline ni majengo Yale Yale.Shida yako unataka tukuchambulie jengo moja moja kama Dodoma mnavyofanya kwa Mwanza haiwezekani majengo mapya ni mengi kila mtaa.Hiyo kazi ya kuokota okota tunawaachia nyinyi.
Naona Mwanza ya China hapa π πMwanza imedumaa au Mwanza ya nchi gani au Mwanza ya Malawi π²πΌ kwasababu nako kuna Mwanza π€£π€£π€£Dodoma fikeni hapa kwanza alafu ndo uwe mwanzo wa kuchonga midomo ila sio hivyo vighorofa kama vya nyegezi pekee.View attachment 3421566View attachment 3421563View attachment 3421562View attachment 3421564
Huu mradi upo pande zipi Dodoma nataka nikaombe kazi ya Kibarua.Usitumie Nguvu sana Mwanza ni mjinwa hovyo hauna hadhi ya second City.
Vitu vya Dom vinaonekana huhitaji kutafutiza.
Mwanza size yake ni Mbeya & Morogoro.
Dom HQ π₯ π₯
View: https://www.instagram.com/p/DMf700vsrtB/?igsh=anc4ZTV4OW54d2Y2
Ni yale yale kwasababu Mwanza hupafahamu vizuri,uliza wajuzi watakwambia kama ulitoka Mwanza miaka 2 iliyopita lazima utatoa macho.Skyline ni majengo Yale Yale.
Kiufupi Mwanza imedumaa watu wanakombia huko hakuna ishu.
oya vibarua Dodoma wanalipwa kiasi gani kwa siku?.Skyline ni majengo Yale Yale.
Kiufupi Mwanza imedumaa watu wanakombia huko hakuna ishu.
π€£π€£π€£π€£wewe mweu kweli hiyo sio China ni Mwanza ya Tanzania.Wewe endelea kuishi mavumbini Dodoma utaendelea kuona majiji Mengine kama China kwasababu ya ushamba wako.
Zoom tuoneπ€£π€£π€£π€£wewe mweu kweli hiyo sio China ni Mwanza ya Tanzania.Wewe endelea kuishi mavumbini Dodoma utaendelea kuona majiji Mengine kama China kwasababu ya ushamba wako.