Dpresident tz
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 433
- 454
Choicevariable haya ni moja ya majengo mapya kabisa kama unalingine sema tukusahidieWivu ni mbaya sana ..
Unayasema ukiwa kwenye vumbi na upepo wa baridi kavu ...ngozi imepaukaView attachment 3421304
hiki ni kiswahili au kisukuma😂😂..siku Mwanza ikija kupata concentration ya maghorofa kama haya 👇👇 mimi nitaleft JFtukusahidie
Kichaka cha kujifichia ni mtumba nako ni vumbi tupu.Dodoma bila Mtumba ni bora kahama tuhiki ni kiswahili au kisukuma😂😂..siku Mwanza ikija kupata concentration ya maghorofa kama haya 👇👇 mimi nitaleft JF
View: https://www.instagram.com/reel/DLni1xLtKdY/?igsh=MXFsa2wxdDdsczZvYg==
ebu nioneshe barabara yoyote ya vumbi ndani ya Magufuli City-Mtumba😂😂. Tanzania hii Dom inashindana na Ilala pekeyake kwenye mtandao mpana wa barabara za lami .Kichaka cha kujifichia ni mtumba nako ni vumbi tupu.Dodoma bila Mtumba ni bora kahama tu
Nawakumbusha tuu NHC Samia Housing Phase II inaendeleaKichaka cha kujifichia ni mtumba nako ni vumbi tupu.Dodoma bila Mtumba ni bora kahama tu
We mzee Masare ...mwanza unasoma kwenye magazeti ukiwa mavumbi town hapo ....ebu nioneshe barabara yoyote ya vumbi ndani ya Magufuli City-Mtumba😂😂. Tanzania hii Dom inashindana na Ilala pekeyake kwenye mtandao mpana wa barabara za lami .
Ukija Mwanza sasa wao suala la barabara ni changamoto ya miaka nenda rudi utadhani huko hakuna TANROADS wala TARURA ... imagine hadi barabara muhimu mfano Airport -Igombe,Igoma-Kishiri n.k wameshindwa hata kumwaga moramu😂😂. Ukienda Buhongwa kuna ubovu wa barabara hata Bajaji haiwezi kupita
Mwanza imedumaa maendeleo yote ni Geita Kwa SasaWe mzee Masare ...mwanza unasoma kwenye magazeti ukiwa mavumbi town hapo ....
Barabara ulizotaja zote zina lami na nyingine zinamaliziwa kuwekewa lami ... barabara ya Buhongwa kishiri ni lami ,Igoma to kishiri lami ipo asilimia 90 ..
Airport to kabangaja via igombe ujenzi upo asilimia 40
Barabara ya mkuyuni to Nyakato mkandarasi yupo site
Barabara ya nyamhongolo stendi to buswelu ujenzi asilimia 95
Barabara ya Igoma to buswelu ujenzi upo asilimia 60
Barabara ya veta via buswelu to mhonze tx Inakutana na barabara ya airport igombe ipo asilimia 90
Barabara za mitaa kirumba new CBD km 3 ujenzi upo kasi
Hapa nazungumzia km zaidi ya 50 zinapigwa lami sasa hv kitu ambacho kwa jiji la mwanza na geographia yake ni hatua nzuri.hapa sijaongelea barabara za lami nyepesi kila kata wilaya ya nyamagana....
Hapa tunapoongea mkandarasi wa ujenzi wa barabara njia nne km 25 pamoja na pedestrian overpass ameshapatikana na kazi ya awali ya ujenzi wa daraja la mkuyuni na mabatini pamoja na upanuzi wa barabara unganishi unaendelea
MWANZA IS HOTTER THAN EVER BEFORE
chini ni picha ya barabara baadhi nilizotaja .kama barabara ya Igoma kishiri, barabara ya buswelu nyamhogolo stendi na barabara njia nne wilaya ya misungwiView attachment 3422729View attachment 3422730View attachment 3422731
Wewe kijana achana na taarifa za kisiasa,kwahiyo Geita ina viwanda vya tofali na refinery kubwa na viwanda vya nondo kuliko Mwanza??🤣🤣🤣Umeanza kuchanganyikiwa wewe.Mwanza isikie tu ni moto wakuotea mbali.Mwanza imedumaa maendeleo yote ni Geita Kwa Sasa
View: https://www.instagram.com/p/DMpMds9sYD_/?igsh=MTRxOGVyamkxdmEyMA==
Unaelewa maana ya kwamba Uchumi wa kanda ya Ziwa Kwa Sasa Inaelekea Geita?Wewe kijana achana na taarifa za kisiasa,kwahiyo Geita ina viwanda vya tofali na refinery kubwa na viwanda vya nondo kuliko Mwanza??🤣🤣🤣Umeanza kuchanganyikiwa wewe.Mwanza isikie tu ni moto wakuotea mbali.
Sasa mbona mnaleta picha za google za zamani?Hii ndiyo Dodoma CBD ya kina ChoiceVariable View attachment 3422994
Wewe hakuna unalojua kuhusu kanda ya ziwa na Mwanza.Uchumi wa Mwanza hauwezi kuelekea Geita kwasababu nyingi mojawapo ni geographical location na miundo mbinu.Kipindi cha Magufuri alijaribu kama kuigawa kanda kama kanda ya ziwa mashariki na kanda ya ziwa magharibi kahamishia baadhi ya ofisi Geita kama TMDA na hospitali ya kanda lakini ikashindikana.Mwanza ni hatari inapigana vita ya kimataifa(Kampala,kisumu,bujumbura na Kigali),kitaifa kama(arusha,mbeya na Dodoma) bado inashinda.Mwanza na Geita ni washirika wa karibu na undugu hakuna vita hapo.Mwanza ni GOD Choosen region kama uamini wewe endelea kuishi utaelewa.Zitakuja tawala za kutaka kuiua kabisa ila zitapita kama huu utawala wa mama umebakiza miaka 5 utapita Mwanza inaendelea kunawili.Kamh Zito kilipiga kelele ili SGR isije Mwanza,Mama alipoingia madarakani akaamishia nguvu SGR Kigoma na SGR Mwanza ikasimama sasa nenda kuulize Zitto Mwanza imepungikiwa nini??Zaidi zaidi makampuni mapya ya basi kama Katarama na God first kuongeka,mambo yanazidi kunawili kuliko zamani.Unaelewa maana ya kwamba Uchumi wa kanda ya Ziwa Kwa Sasa Inaelekea Geita?
Mwanza NJ zilipendwa hakuna wahamiaji tena ila watu wanakombia ndio maana population growth imeporomoka drastically.
Najua hupendi kusikia huu ukweli ila ndio ukweli huo.
Punguza porojo na maneno mengi yasiyo n faida.Wewe hakuna unalojua kuhusu kanda ya ziwa na Mwanza.Uchumi wa Mwanza hauwezi kuelekea Geita kwasababu nyingi mojawapo ni geographical location na miundo mbinu.Kipindi cha Magufuri alijaribu kama kuigawa kanda kama kanda ya ziwa mashariki na kanda ya ziwa magharibi kahamishia baadhi ya ofisi Geita kama TMDA na hospitali ya kanda lakini ikashindikana.Mwanza ni hatari inapigana vita ya kimataifa(Kampala,kisumu,bujumbura na Kigali),kitaifa kama(arusha,mbeya na Dodoma) bado inashinda.Mwanza na Geita ni washirika wa karibu na undugu hakuna vita hapo.Mwanza ni GOD Choosen region kama uamini wewe endelea kuishi utaelewa.Zitakuja tawala za kutaka kuiua kabisa ila zitapita kama huu utawala wa mama umebakiza miaka 5 utapita Mwanza inaendelea kunawili.Kamh Zito kilipiga kelele ili SGR isije Mwanza,Mama alipoingia madarakani akaamishia nguvu SGR Kigoma na SGR Mwanza ikasimama sasa nenda kuulize Zitto Mwanza imepungikiwa nini??Zaidi zaidi makampuni mapya ya basi kama Katarama na God first kuongeka,mambo yanazidi kunawili kuliko zamani.
Wewe leta zako kama sio vijengo vya Mtumba na vijumba vya vyumba viwili vya NHc.Badae ulalamike unataka cbd ya Mwanza tu wakati Cbd ya dodoma unaikataa.Sasa mbona mnaleta picha za google za zamani?
Nimeshaweka humu ziko kibao hapo unajitoa ufahamu si ndio?Wewe leta zako kama sio vijengo vya Mtumba na vijumba vya vyumba viwili vya NHc.Badae ulalamike unataka cbd ya Mwanza tu wakati Cbd ya dodoma unaikataa.
Mapato ya Jiji la Dom ni mara 2 ya Mwanza is Slum 😂😂Wewe leta zako kama sio vijengo vya Mtumba na vijumba vya vyumba viwili vya NHc.Badae ulalamike unataka cbd ya Mwanza tu wakati Cbd ya dodoma unaikataa.
Kamwambie atuache au atupige bomo la nyuklia kabisa ili tufutike kabisa muda bado anao.Punguza porojo na maneno mengi yasiyo n faida.
Geita ndio hii from nothing to something Hii Hapa Ndio Mikoa 15 Inayoendesha na Kuchangia Zaidi Uchumi Wa Tanzania | JamiiForums Hii Hapa Ndio Mikoa 15 Inayoendesha na Kuchangia Zaidi Uchumi Wa Tanzania
Mwisho acha upuuzi,Samia kwanza amewasaidia sana ilitakiwa awaache kabisa.
Hana interest na ujinga wenu wa kina Mwendazake,kwao ni Zanzibar hawezi hangaika na kuendelea sehemu kama yule marehemu wenu aliyeshindwa kuwapa hata maji akawa anawajengea madaraja.Kamwambie atuache au atupige bomo la nyuklia kabisa ili tufutike kabisa muda bado anao.
Kumbe unalitambua hilo basi Dodoma pambaneni muifikie angalau Geita kuliko kuangaika na Mwanza ambayo hiko mbali sana.Punguza porojo na maneno mengi yasiyo n faida.
Geita ndio hii from nothing to something Hii Hapa Ndio Mikoa 15 Inayoendesha na Kuchangia Zaidi Uchumi Wa Tanzania | JamiiForums Hii Hapa Ndio Mikoa 15 Inayoendesha na Kuchangia Zaidi Uchumi Wa Tanzania
Mwisho acha upuuzi,Samia kwanza amewasaidia sana ilitakiwa awaache kabisa.