Huko Mwanza ni mji wa Burundi au Rwanda....π€£π€£mji wa mama samia
Tactic ya Samia.
Siku Dom ikiwa dormant na Mwanza is Slum itakuaje dampo Sasa ππTumewachoka Kila siku picha zile zile za mji wa mama samia na marehemu magufuli..Dodoma is dormant dusty town .. nothing new to offer zaidi ya majengo ya mama samia
If Dodoma is dormant ...how comes then is mentoring other cities from even developed countries in terms of proper urban planning,excellent infrastructures, revenue quality etc πππππ.In Mwanza the only attribute to learn is overpopulationπ€£π€£π€£Tumewachoka Kila siku picha zile zile za mji wa mama samia na marehemu magufuli..Dodoma is dormant dusty town .. nothing new to offer zaidi ya majengo ya mama samia
Unaangalia jangwa au content?mbona jangwa
Si huwa mnasema watumishi wanahamia Dodoma..vip tena π
Sekta ya Umma Ina Watumishi wachache kuliko sekta bibfsi.Si huwa mnasema watumishi wanahamia Dodoma..vip tena π
Kuna kilaza mmoja humu alituambia eti eti Dodoma hakuna sekta nyingi za uchumi kama mikoa mingine πππ, sasa inakuaje tena ajira binafsi zote hizo zinazalishwa na kuwa top 6 kati ya mikoa yote ya Tanzania.
Cc masareMsaada tafadhali kwa wenyeji wa dodoma, nahitaji kuanza makazi maeneo yaliyo kati na kati baina ya Nzuguni na Miyuji ambapo hata usafiri kuelekea sehemu hizo mbili utakuwa wa uhakika na nauli yake bei rafiki