ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Onyesha vitu vya maana a hivi π π
Maskini Mwanza inazidi kufa ππ
Subiri waje kukwambia eti Dodoma ni vumbi+ jangwa hakuna madini yoyote.....πππ
Huu mradi wa TACTIC pia Mwanza nayo ni mnufaika ila chaajabu kila ukienda Mwanza changamoto ya barabara na miundombinu ni ya miaka nenda rudi.Wakajifunze kwa wenzao Dodoma wamewezaje
Dom pekee Ina viwanda 5Subiri waje kukwambia eti Dodoma ni vumbi+ jangwa hakuna madini yoyote.....πππ
Picha zenu zote ni za usiku tu tena na filters kibaoππ....mnaogopa kupost za mchana maana ile background ya slums itaonekana clear
Ebu tupe vigezo vyako tupime...πMimi kwetu ni dodoma ila Mwanza nakupenda kuliko huko Dodoma
ooh what a background.....typical uswaziππMwanza oh Mwanza...
View attachment 3457659
Acha ushamba ...slum on the hills ni tourism. .kaangalie Rio de Janeiroooh what a background.....typical uswaziππ
Kujifariji+Ngonjera+Porojo za kilasiku....Mwanza is full of slums everywhere full stopππ. Mwanza wakajifunze kwa wenzao Dom maeneo yao ya milimani walivyoyapangilia vizuriππAcha ushamba ...slum on the hills ni tourism. .kaangalie Rio de Janeiro View attachment 3457899
Kama slum ndo hoja ..basi dar es salaam sio Jiji ....maana asilimia 70 ya dar ni slum ......Kujifariji+Ngonjera+Porojo za kilasiku....Mwanza is full of slums everywhere full stopππ. Mwanza wakajifunze kwa wenzao Dom maeneo yao ya milimani walivyoyapangilia vizuriππ
View: https://www.instagram.com/reel/DKezKq_MUyD/?igsh=OGd6Z2VyeTV6dzA=