Mwanza kamwe hawataweza kufikia level ya Dom kwenye ujenzi+mipangomiji maeneo ya mlimani😂😂.....slums+squatters za mwanza maeneo ya milimani itachukua miaka mingi sana kuziondoa.Uniqueness ya Mwanza ni ujenzi wa makazi milimani kama favela Rio de Janeiro Brazil
View attachment 3463568
Angalia wenzenu Dom 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/Curk-q0NmpA/?igsh=MWtyODFzbHEzcm12aQ==