ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kajengo kamoja unageuza geuza camera tuu.
Leta vitu kama hivi 👇 👇
View: https://youtu.be/4-8N19x61iU?feature=shared
Kajengo kamoja unageuza geuza camera tuu.
Mwanza haijawahi kupoa kwenye construction ya majengo View attachment 3465499
Ni aibu Mwanza kujisifia tumajengo twa kuokoteza.
Ona hii ng'ombe Kasi ya ujenzi wa maghorofa binafsi mwanza inashika nafasi ya pili baada ya dar nimerudi mwanza Toka Dar sijuti kuzaliwa mwanza 🤣🤣🤣Ni aibu Mwanza kujisifia tumajengo twa kuokoteza.
Tanzania ya Samia Kila Mji magorofa yanaota daily.
Mwanza kamwe hawataweza kufikia level ya Dom kwenye ujenzi+mipangomiji maeneo ya mlimani😂😂.....slums+squatters za mwanza maeneo ya milimani itachukua miaka mingi sana kuziondoa.
Angalia wenzenu Dom 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/Curk-q0NmpA/?igsh=MWtyODFzbHEzcm12aQ==
Endelea kujifariji Mwanza slumsDodoma kuna mipango miji??au unasema chuo cha mipango??Hii ndo Dodoma unayoisema au hii ni Darfu Sudan?🤣🤣View attachment 3466431
Endelea kujifariji ndio na hapa tupeane miaka 5 utakua umepata jibu, Mda huu kuna site 9 za NHC ubia ndani ya CBD zinakula nyundo, Angle yenu ya kujifichia Dodoma ni high way tu nazo mda wenu unahesabika mnakula za usoNi aibu Mwanza kujisifia tumajengo twa kuokoteza.
Tanzania ya Samia Kila Mji magorofa yanaota daily.
Hatari sanaDodoma kuna mipango miji??au unasema chuo cha mipango??Hii ndo Dodoma unayoisema au hii ni Darfu Sudan?🤣🤣View attachment 3466431
Duuuuuuh, kuna shughuli inapigwa sio mchezo kwa majiji kama mbeya, Tanga CBD ya kirumba inawamaliza bado Buswelu upcoming CBD kali sana, tena huko ni kama ulaya, kote kumepangwa na Raia wapiga mahekalu ya hatareeAnzisha hiyo beto tuone 😂😂
Kirumba ni uswazi
La serikali hili
Kitu hulijui na unapaswa kukijua ni kwamba Mwanza CBD ina majengo mengi ya NHC, na mpango ni kuyavunja yote na kujenga mapya kwa sera ya UBIA, hii ipo Dsm na Mwanza kwenye majiji ya biashara, Dsm mpaka sasa kuna site 66 zinakula nyundo na mwanza kuna site 36 zimepata watu na site 18 zinakula nyundo zingine ujenzi unaendelea, tembelea page ya NHC,Ni aibu Mwanza kujisifia tumajengo twa kuokoteza.
Tanzania ya Samia Kila Mji magorofa yanaota daily.
Replacement sio MpyaKitu hulijui na unapaswa kukijua ni kwamba Mwanza CBD ina majengo mengi ya NHC, na mpango ni kuyavunja yote na kujenga mapya kwa sera ya UBIA, hii ipo Dsm na Mwanza kwenye majiji ya biashara, Dsm mpaka sasa kuna site 66 zinakula nyundo na mwanza kuna site 36 zimepata watu na site 18 zinakula nyundo zingine ujenzi unaendelea, tembelea page ya NHC,
Replacement sio Mpya
Fikeni huku kwanza
View: https://www.instagram.com/p/DOQIam-DEV1/?igsh=MXdlM2dtN3VvcGk3dg==
Replacement sio Mpya
Fikeni huku kwanza
View: https://www.instagram.com/p/DOQIam-DEV1/?igsh=MXdlM2dtN3VvcGk3dg==%5B/URL
Replacement%20sio%20Mpya
Fikeni%20huku%20kwanza
%5BURL%20unfurl=%22true%22%20media=%22instagram😀OQIam-DEV1%22%5Dhttps://www.instagram.com/p/DOQIam-DEV1/?igsh=MXdlM2dtN3VvcGk3dg==🤣🤣🤣 baada ya miaka 5,CBD yote itakua na new skyline, endeleeni kukariri maisha, hizi barabara zipo underconstruction nyingi mno, Tunasubiri kuja kuwafunga midomo kwenye kenyata road km 37,moja ya barabara itakayokuwa kali kuliko barabara zote Dodoma, bado Nyerere road finally airport road to Nyanguge hapo kichaka chenu kitakua kimefyekwa rasmi
Replacement sio Mpya
Fikeni huku kwanza
View: https://www.instagram.com/p/DOQIam-DEV1/?igsh=MXdlM2dtN3VvcGk3dg==
Replacement sio Mpya
Fikeni huku kwanza
View: https://www.instagram.com/p/DOQIam-DEV1/?igsh=MXdlM2dtN3VvcGk3dg==
Unaongelea uchumi au unaongerea majengo ebu jipambanue vzr
Maana kahama haina majengo mazuri ila ni moja ya miji tajiri tanzania
Sasa unapokuja suala la dodoma na mwanza yawezekana dodoma kuna majengo mazuri ila kiuchumi
Mwanza iko mbali sana zaidi ya dodoma