Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Another skyscraper in Dom loading....
20260120_161341.jpg
 
Kama Mwanza ni kijiji kikubwa, basi Dodoma ni kichaka kikubwa sana,10km from city centre lakini ni vichaka na mapori tu, hii ndo uje ulinganishe na rock city
 
Unaongelea uchumi au unaongerea majengo ebu jipambanue vzr

Maana kahama haina majengo mazuri ila ni moja ya miji tajiri tanzania

Sasa unapokuja suala la dodoma na mwanza yawezekana dodoma kuna majengo mazuri ila kiuchumi
Mwanza iko mbali sana zaidi ya dodoma
Kahama Ina Utajiri gani kama huna majengo?
 
I’m not trying to be negative here lakini viwanda kama soda bado ni vidogo hata bank wanakupa mkopo kirahisi,naongelea hizi security funds with billions of money, naona they can do better kuliko kujenga majengo, why not something like 100 MW solar power plant sehemu kama Dodoma or central region, kuna jua la kufa mtu na mahitaji ya umeme ni makubwa sana, umeme utasaidia hata viwanda na sekta nyingine kukua at the same time
 
Dom ni zaidi ya unavyoijua

View: https://www.instagram.com/reel/DGK2_skCCh1/?igsh=MTg1cjR1a3ZvZmd5aA==
 
Back
Top Bottom