Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Tayari Dodoma Ina Viwanda ambavyo Mwanza havipo,so hivi vya vinywaji ni addition tuu

View: https://www.instagram.com/p/DGIuQ-nqpGy/?igsh=YXp3YWh0NXNzN2c2

Kwenye viwanda hapo umechemsha,mwanza ina viwanda vingi sana compared to dodoma kuanzia viwanda vya kuprocess samaki to fillets, viwanda vya vinywaji, viwanda vya steel, viwanda vya mineral processing, viwanda vya magodoro nk, yaani ni vingi mno,mwanza pekee tu ina Buhongwa industrial area,mkuyuni industrial area,igogo,nyakato, Igoma industrial areas, haya sasa tuambie hivyo viwanda vipo wapi hapa Dodoma, kwenye viwanda mwanza ipo mbali sana
 
Tayari Dodoma Ina Viwanda ambavyo Mwanza havipo,so hivi vya vinywaji ni addition tuu

View: https://www.instagram.com/p/DGIuQ-nqpGy/?igsh=YXp3YWh0NXNzN2c2

🐟 Viwanda vya usindikaji wa samaki
: Mwanza Fishing Industries Ltd, Nile Perch Fisheries Ltd, Omega Fish Ltd, Tanzania Fish Processors Ltd, Vic Fish Ltd na Tan Perch Ltd.
🍺 Viwanda vya pombe na vinywaji
Tanzania Breweries Limited (TBL) na Serengeti Breweries jijini Mwanza. �
mwanza.go.tz
🌾 Viwanda vya kusindika chakula na mafuta
mafuta ya pamba/cottonseed oil. �
mwanza.de +1
🧵 Viwanda vya nguo na textile
Mwanza Textile Mills. �
mwanza.go.tz +1
🪵 Viwanda vya mbao, plastiki na bidhaa ndogo
Kuna viwanda vya kusindika mbao, plastiki, sabuni, ngozi na bidhaa ndogo za mikono. �
mwanza.go.tz +1
🏭 Viwanda vingine vingine
Metal na viwanda vya chuma kama ngoma za chuma na vifaa mbalimbali, ginneries (kusagwa pamba), viwanda vya kuandaa chakula cha mifugo, na sehemu za magari/warsha. �
tamisemi.go.tz
📍 Maeneo makubwa ya viwanda jijini Mwanza
Mwanza South
Igogo
Nyakato
Ilemela
Mkuyuni
 
Kasi ya ukuaji wa Viwanda Mwanza ni ndogo sana kuliko Dom ikizingatiwa hamna Ardhi ya kutosha ndio maana Viwanda vimehamia Shinyanga Kwa Kanda ya ziwa.

View: https://www.instagram.com/p/DRUt5CMDHhK/?igsh=MWMwN2JiaGNhcnkzMw==
 
Yaani mnakomaa na ahadi za wanasiasa hawa hawa, hamna reality ahadi ahadi tu,sa nikikuletea ahadi za mwanza si utachoka wewe, achana na ahadi, twende kwenye uhalisia
Ahadi au ujenzi inaendelea? Kwani hujui kusoma?

Dom Iko next level Kwa Sasa ,hiki ni kiwanda Cha mbolea
treetvtz_1751109769201.jpg
 
U

Ukiachana na majengo ya wizara hapo mtumba hakuna kingine zaidi ya vichaka
Mji wa Serikali umezungukwa na urban centres zinazokua sana yaelekea huijui vizuri Dom.

Unaposema hakuna kitu wakati Magufuli City inaendelea Kujengwa Ili iwe integrated na Huduma zote za Biashara,Viwanda,makazi , miundombinu na Serikali Kila Kona.

Kaangalie master plan yake
 
Dodoma naifahamu vizuri sana, urban centres gani zimezunguka mtumba, kama sio mapori ya JWTZ
 
Urban center ya majengo mawili tu, urban center ni collection ya mambo mengi, kwanza population, maeneo ya biashara, social services nk, sasa hio urban center yako, majengo mawili linabaki jangwa na vichaka itakua ya kwanza, after all Dodoma is developing na ni mji wa kiutawala na taasisi,huo ndo uhalisia.
20260120_161341.jpg
IMG_0557.jpeg
IMG_0564.jpeg
IMG_0573.jpeg
IMG_7879.jpeg
IMG_7884.jpeg
IMG_7880.jpeg
IMG_5742.jpeg
 
Urban center ya majengo mawili tu, urban center ni collection ya mambo mengi, kwanza population, maeneo ya biashara, social services nk, sasa hio urban center yako, majengo mawili linabaki jangwa na vichaka itakua ya kwanza, after all Dodoma is developing na ni mji wa kiutawala na taasisi,huo ndo uhalisia.
dalali_errick_dodoma_1769680879160.jpg
dalali_errick_dodoma_1769681253479.jpg
dalali_errick_dodoma_1769680880655.jpg
dalali_errick_dodoma_1769680882041.jpg
dalali_errick_dodoma_1769681254815.jpg
 
Kasi ya ukuaji wa Viwanda Mwanza ni ndogo sana kuliko Dom ikizingatiwa hamna Ardhi ya kutosha ndio maana Viwanda vimehamia Shinyanga Kwa Kanda ya ziwa.

View: https://www.instagram.com/p/DRUt5CMDHhK/?igsh=MWMwN2JiaGNhcnkzMw==

MWANZA hakuna Ardhi mzee nakujua vizuri toka ukiwa unabasili username nanwaga upo Against na Mwanza au Lakw zone kwa kila kitu!!!

DODOMA uzuri nimesoma na kazi nafanyia hapa hapa, hapa ukiondoa Majengo ya serikali bado Hawana tofauti na Manispaa ya Musoma
 
Hakuna namna Mwanza mtajitutumua kushindana na Dodoma Kwa lolote regardless of your excuses si Kwa mzunguko wa pesa Wala miundombinu Wala kasi ya ujenzi.

Mwanza ni ghost city nothing else,na Mbeya inaenda kuwapita so mtaendelea kujitutumua weee lakini huko Kwa ground ukweli unaujua.

Majengo ya serikali 😆😆

View: https://youtu.be/Gbx1LvBdfiI?si=uEHK4s5k-8F4vhmw
FB_IMG_1769709326094.jpg
FB_IMG_1770038371989.jpg
FB_IMG_1769190965598.jpg
 
Back
Top Bottom