ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Dom Haina mauswazi na mauchafu kama yaliyopo DarMsipokuwa makini hawa dodoma kuna siku watajifananisha na Dar..
Dom Haina mauswazi na mauchafu kama yaliyopo DarMsipokuwa makini hawa dodoma kuna siku watajifananisha na Dar..
Dodoma huduma za daladala mwisho saa tatu usiku 😀Dom Haina mauswazi na mauchafu kama yaliyopo Dar
Kwani lazima daladala? Dom Haina Giza usiku kama MwanzaDodoma huduma za daladala mwisho saa tatu usiku 😀
Kwani lazima daladala? Dom Haina Giza usiku kama Mwanza
Dodoma ni jangwa 😂😂👇👇
View: https://www.threads.com/@thechanzo/post/DXgQq4jCLUd?xmt=AQF0DknFWd8G8l_pcPEsMwjAGAX-Lzk6I5g_QfIabNN8oBRenUsavTWr-i28koQh-gGT0Zs6&slof=1