Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Imagine Hilo eneo la machaka na mashaka ya alizeti na mavumbi ndio rich neighborhoods yenu ...Dodoma is a mess ...mmenyimwa hali ya hewa , mazingira mkapewa na milembe juu 😁😁..Kuonyesha Kuna mental health problem
 
Mwanza ndio inatoa somo Africa mashariki kwa ujenzi wa neighborhood Kali milimani ,,,anzia kapripoint,bwiru , ilemela,ibanda na nyegezi majengo mapya....
By the way itega the most richy neighborhood ya Dodoma Haina uwezo wa kubattle na mahina mwananchi the fifthy most wealthy neighborhoods In Mwanza

View: https://www.instagram.com/reel/DLLC0CuIeiB/?igsh=MWU2YzF2MHR5amxqcA==
 
ChoiceVariable na masare njooni hapa Area C kwa Steve mwone watu wanakula mishikaki yenye vumbi πŸ˜‚πŸ˜‚...huu mji kweli ni jangwa vumbi kama lote.
 
Uniqueness ya Mwanza ni ujenzi wa makazi milimani kama favela Rio de Janeiro Brazil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…