Mwanza kamwe hawataweza kufikia level ya Dom kwenye ujenzi+mipangomiji maeneo ya mlimaniππ.....slums+squatters za mwanza maeneo ya milimani itachukua miaka mingi sana kuziondoa.Uniqueness ya Mwanza ni ujenzi wa makazi milimani kama favela Rio de Janeiro Brazil
View attachment 3463568
Huwezi pata view kali kama hii huko jangwani
Nadhani watawaonea wivu siku ambayo Mwanza slums na harufu ya shombo za samaki zikikaribia kufika level hizi za miundombinu +mipangomiji ya Dom πππ€£ π€£ π€£ Jamaa wa jangwani wanaumia sana wakiona hivi vitu
Majengo ya mama samiaNadhani watawaonea wivu siku ambayo Mwanza slums na harufu ya shombo za samaki zikikaribia kufika level hizi za miundombinu +mipangomiji ya Dom ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DIE1zNKiMjJ/?igsh=N3lucmkzNmk1emc4
ni jengo gani na floo ngapiDude lishaanza kupata shepuu View attachment 3465455
Commercial building ni 9f lipo mitaa ya Ghanani jengo gani na floo ngapi
Tunakoelekea Kirumba na Buswelu zinaenda ku battle na baadhi ya miji ya hapa Bongo
La serikali hiliMwanza haijawahi kupoa kwenye construction ya majengo View attachment 3465499
Anzisha hiyo beto tuone ππTunakoelekea Kirumba na Buswelu zinaenda ku battle na baadhi ya miji ya hapa Bongo