Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wananchi wa dodoma wanaonekana hawana huwezo wa kujenga makazi yao adi wajengewe na serikali, nami nawaombea mjengewe nyumba na muishi bure bila kulipa na kodi.
Rubbish monkey.

Ona hii video hapa chini,utajua kwamba umeandika ujinga.

Dodoma- City in the making
 

Attachments

  • 4867619-014798ad3f2b454f03a814fb4565057a.mp4
    8 MB
Unaupiga mwingi mno sisi kama wanamwanza tumenyoosha mikono tuhurumieko basi tusitoe ushuzi maana kiaminio chetu ni kamradi ketu ka vibanda 10 vya watumishi house pale kisesa na ukiendelea kupost mambo ya jijini DOM roho zinatuuma sana.
 
Dom sio Jiji la uswazi uswazi kama Mwanza..

Upangaji wa Jiji unaendelea [emoji116]

View attachment 2168725

View attachment 2168726

View attachment 2168727

View attachment 2168728
Sisi kama wakazi wa kijiji kikubwa cha milimani unatukera mno tutaandamana haiwezekani kila siku unapost ukweli.
We unajua fika Dodoma ni next level sisi hata vyoo hatuna afu unatuletea maswala ya estates hayo mambo ya mipangilio ya mji tutayajulia wapi hapa kijijini kwetu hata taa za barabarani yenyewe taabu.
 
Muwe na adabu jamani huwezi fananisha Kijiji kikubwa cha wavuvi na Jiji Kuu la Serikali..

Dodoma- City Nzunguni & Iyumbu ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ‘‡









 
Hayo maelezo hayaakisi uhalisia.

Baada ya kukamilika km 51 za lami sasa ujenzi wa km 8 zingine inaendelea Dom๐Ÿ‘‡

View attachment 2205889

View attachment 2205890

View attachment 2205892
Hizo kilomita 51 kwa Mwanza ziko ndani ya jiji na zina dalala mfano Daladala kutoka ilalila to Misungwi via buswelu ni kilomita 55,Nyingine ni dalala kutoka kisesa to usagara via nata ni kilometa 42,kutoka aiport to k/ferry au daraja la Magufuri ni kilometa 43 nimejaribu kuainisha baadhi ya route ambazo uwezi huko nje ya mji.Kwahiyo wanaotoa hizi takwimu za ukuaji wanavigezo vya kimataifa.Ukweli ni kwamba Mwanza ingewekewa namna kama majiji mengi hata dar ingeshanga
 
Hayo maelezo hayaakisi uhalisia.

Baada ya kukamilika km 51 za lami sasa ujenzi wa km 8 zingine inaendelea Dom๐Ÿ‘‡

View attachment 2205889

View attachment 2205890

View attachment 2205892
Kitu kingine hiyo sio barabara moja yenye kilometa 51 ila ni mkusanyiko wa vipande vingi kufikisha kilometa 51 ila kwa mwanza hiyo kilometa 51 ni route moja yenye urefu huo.Hii inasababishwa jiji kuwa muunganiko wa wilaya 5 kitu ambacho kipo Dar na Mwanza pekee
 
Dodoma- ina mtandao mkubwa wa lami kuliko Mji wowote Tzn,hata Dar haifiki afu wewe pimbi unaongea upuuzi hapa ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Unataka iwe barabara moja Ili iwaje?
 
Kwenye wewe tumbili,kwamba hujui Dom inajengwa dual carriage Ring roads ya km 120? Tatuta EAC yote kama hiyo.
Nashukuru japo umepaniki.Kwa taarifa yako Mwanza kuna bypass ring road inayounganisha wilaya tano wala usikii kelele inaunganisha Sengerema(busisi),misungwi(usagara),Nyamagana(kishiri),Magu(kisesa),sasa inatengenezwa kuelekea ilemel(kayenze),sema kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ