Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hata ukiangalia msalato ile, mpunguzi,veyula , barabara ya kuelekea hombolo ,tena kiangazi hiki unaweza kusema upo jangwa la Kalahari
Namna unavyoitaja na kuipambanua mitaa inaonekana kabisa hakuna lolote unalojua
Hapo mahali palipojengwa Udom unajua palikuaje na palionekanaje? Hiyo mitaa unayoitaja kuwa yenye afadhali ndio mitaa mikongwe ya dodoma hizo picha ulizotuma ni tofauti kbsa na uhalisia wa sasa pamoja kuwa ni pahala ambapo pamepimwa si chini ya miaka 3.. sasa nakuona huna unalolijua sababu unapasifia udom then unapaponda ihumwa wakati hujui udom palionekanaje miaka ya 2006
 
Nilianza kumshangaa et analinganisha kahama na njombe [emoji23][emoji23], mara akahamia sumbawanga mara alinganishe mwanza na arusha yaani anatapatapa haeleweki [emoji1787][emoji1787]
Anzisha uzi wako leo kati ya Mwanza na Namtumbo atakuja kuipambania namtumbo kama anaijua nakusema ni bora kuliko Mwanza huwa haiwishi vituko, kila akiona mwanza lazima aje aipondee🤣🤣
 
Eti chumvi,,.mkonze ni km 5 toka mjini unasema ni nje ya mji ,,mbwanga ni km 7 toka mjini ,.. Mwatano ni km 6 kupitia maili mbili ....hapo nje ya mji kivipi ...unavyosema mtandao wa lami ,sijakataa kwamba Dodoma kwa baadae itakuwa na mtandao mkubwa wa lami kuliko miji yote .ila kwa sasa .bado wako down ...na mji bado ni vumbi tupu..wewe umeajiriwa na serikali unakaa kwenye nyumba za NHC medeli .. huwezi jua adha waliyo nayo watu wa swaswa,. nkuhungu nchama, gwasa , ihumwa,nk....
 
Hapa ni mji mwema , mbwanga km 6 toka mjini ...2021 ....
 
Karibu na nala ,,,km 10 toka mjini. .. barabara ya singida . Angalia hali hyo ya jangwa .
 
Town mpaka mkonze ni km 15, hapo umetudanganya mkuu
Chama ipi haina lami?
Chan'gombe ipi haina lami??
Ukiwa unaongea vitu uliza uambiwe usipelekwe na hisia za chuki dodoma yenyewe huijui
 
Town mpaka mkonze ni km 15, hapo umetudanganya mkuu
Chama ipi haina lami?
Chan'gombe ipi haina lami??
Ukiwa unaongea vitu uliza uambiwe usipelekwe na hisia za chuki dodoma yenyewe huijui
Mi siichukii Dodoma ,,maybe nikuambie ... Dodoma ni mji ambao nimekaa na mwezi wa nane nitakuwa huko ...
Lami ya Chang'ombe inaishia hapo sokoni ,kuanzia huko kwingine ni vumbi tu , barabara ya kutoka gwasa hadi mji mwema hyo Chang'ombe kuna lami ...

Chama nkuhungu kuelekea mbwanga kuna lami gani ...maybe wasubiri ring road itakayojengwa kutokezea mbwanga _Miyuji_nanenane
all in all Dodoma ina mazuri yake na ina project nzuri tu but
Kulinganisha na Mwanza kwa sasa hv ni uonevu......
Maybe waongeze nguvu kwenye population growth ,..
 
Ni mji unaojengeka ila kwa sasa kulinganisha na mwanza bado, nimeishi dodoma napafahamu.
Unaweza kuwa mji mzuri kwa baadae kama ukiendelea kujengwa, kwa sababu nina wasiwasi wakimaliza kujenga majengo ya wizara what next.
Kifo cha Magufuli ni pigo kubwa sana kwa Dodoma, binafsi nilipenda Dom ijengwe tuwe na mji uko vizuri.
Mwanza nayo haisimami inajengwa kila siku, mfano soko linalojengwa mwanza ni kubwa inaweza kuwa mara 3 ya soko la dodoma, na lina underground parking kubwa. Bado Ilemela wanataka jenga soko kubwa Buswelu na pia watavunja lile la kirumba watajenga soko kubwa zuri.
Pale buzuruga stendi ikihama kunajengwa Buzuruga commercial complex
 
JAMAN DODOMA IMEKUBALI HAMNA LEAGUE TENA
af mjue watu wa Dodoma hata hatubishani nao .wanaoongea sana kwenye battle hii ni haters kutoka mikoa mingine ...wa Dodoma wako kimya kabisa ...chawa ndo wasumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…