farharu
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 527
- 583
Namna unavyoitaja na kuipambanua mitaa inaonekana kabisa hakuna lolote unalojuaHata ukiangalia msalato ile, mpunguzi,veyula , barabara ya kuelekea hombolo ,tena kiangazi hiki unaweza kusema upo jangwa la Kalahari
Hapo mahali palipojengwa Udom unajua palikuaje na palionekanaje? Hiyo mitaa unayoitaja kuwa yenye afadhali ndio mitaa mikongwe ya dodoma hizo picha ulizotuma ni tofauti kbsa na uhalisia wa sasa pamoja kuwa ni pahala ambapo pamepimwa si chini ya miaka 3.. sasa nakuona huna unalolijua sababu unapasifia udom then unapaponda ihumwa wakati hujui udom palionekanaje miaka ya 2006