jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Dogo miundombinu ya kwenye makaratasi..tunaomba physical structures...acha hadithi za abunuasi.Siku Kijiji cha Wavuvi kikipata miundombinu ya viwanja kama hivi unitag [emoji116]
Zimeshindwa hata kupelekwa Dodoma ambako ni arid ..zimeletwa mwanza ili kulinda nature nzuri ya ukanda huuHabari kama hizi sunk cost zinamuumaView attachment 2276203
Hapana Mwanza haijengwi na Serikali 😬😬😬😬😬Habari kama hizi sunk cost zinamuumaView attachment 2276203
Dom on the rise 👇Dogo miundombinu ya kwenye makaratasi..tunaomba physical structures...acha hadithi za abunuasi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tupicha tule tule daily 😬😬.Ulichopost ni aibu tupu ,ningekuwa mimi ningeacha ,...
Angalia the mega city zinavyokuwa ,,we endelea na stori zako
Huku private sector ndo mwake ..View attachment 2275754View attachment 2275755View attachment 2275756View attachment 2275757
Fikeni hapa kwanza 👇
Maskini ,,,Dah .. yaani hicho kijengo kimoja[emoji115] ,,unakipost daily unasema nnFikeni hapa kwanza [emoji116]
[emoji3][emoji3] Hawa wazee wa ligi lazima wanyookeUkiniletea mitaa iliyotulia kama hii huko gogo Land nahama nchi
Credit photo😡Cha asubuhi View attachment 2286559View attachment 2286560View attachment 2286561View attachment 2286564View attachment 2286568View attachment 2286569View attachment 2286570
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3] Hawa wazee wa ligi lazima wanyooke
Safi sanaUkiniletea mitaa iliyotulia kama hii huko gogo Land nahama nchi
Credit photo😡Cha asubuhi View attachment 2286559View attachment 2286560View attachment 2286561View attachment 2286564View attachment 2286568View attachment 2286569View attachment 2286570
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Ukiona mtu analinganisha Mwanza na Dodoma jua huyo ana matatizo ya akili.[emoji3][emoji3] Hawa wazee wa ligi lazima wanyooke
Hii ndo Mwanza sio maneno[emoji3][emoji3] Hawa wazee wa ligi lazima wanyooke
Inamaana watu wataacha kujenga au? 😬😬..Dodoma itajengeka sana sababu ya serikali ila muda ukifika itabaki kama zamani.
Mwanza itaendelea sababu ya biashara