The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Tunataka picha acha porojo za kindezi..Hapo hujaiweka kanyerere, bugarika,kisesa,kakebe na kishiri...hii mitaa ndo size ya kisasa ,area d na nkuhungu amabayo ndo mitaa ya kidosi hapo Dom ...
Dom mtaa unaojitutumua kidogo ni uzunguni kwingine ni hamna kitu
Kwa sababu ya ujenzi wa mabati mekundu na blue ule ama kipi cha ajabu Dodoma?Morogoro gani mkuu dah. Hakuna mji usiokua na kufubaa kama Moro. DODOMA inapitwa na Dar, Mwanza na Arusha tu kwa sasa, labda kama mtu hajafika hivi karibuni!
Unafikiri ghorofa ni kama mkundu kila mtu anazaliwa nao eeh? Kuwa kiakili kwanza fala ww.Unakuta mtu anasifia maghorofa ya wenzake yaliyoko Mwanza mara Dodoma ukimwuliza ya kwako ni mangapi? Siyo povu hilo. Vijana tufanye kazi ubishi mwingine hauna faida .
Dodoma,mkiwa wa kijani kama hvi ndo mtakuwa na sifa za kubattle na mwanzaTunataka picha acha porojo za kindezi..
Dodoma [emoji116]
Soko la Job halijawah jaza watuPorojo za kujifariji baada ya Dodoma kuwashika makende..
Cha ajabu ni nini kwa viongozi kuwa Dar? Kwani hujui kwamba Dodoma ndio inajengwa bado haijakishi kuwa na miundombinu yote ya kunifanya Serikali nzima iwe operational kutokea Dom?
Dom itazidi kuwakomesha kama hivi π
Huu mwalo.wenu wa wavuvi kaaamwe hautakuja kufikia hivi viwango vya Dom πDodoma Ina safari sana kufika ....tunajua Uzi mshakimbia ,,subirini vipicha vya mji wa serikali ndo viwarudishe humu ila mtabak chungulia hvyo tu ..ligi hii ngumu[emoji116]View attachment 2348116View attachment 2348118
Dom itafanya mjikojolee mchana bureπSoko la Job halijawah jaza watu
Eti Mwalo wa Mwanza unataka kujitutumua kwa Dom..View attachment 2348066 ilemela [emoji95] huku hatuhitaji serikali kujenga apartment .huku ni private sector....madoni wanashusha madude Yao .View attachment 2348064View attachment 2348067View attachment 2348068
Malaika beach resort hapo Kama ulaya unapata upepo wa asili na Kwa pembeni hapo Kuna sehemu ya band yaani bonge la hotelDodoma,mkiwa wa kijani kama hvi ndo mtakuwa na sifa za kubattle na mwanzaView attachment 2347810View attachment 2347814
Eti Mwalo wa Mwanza unataka kujitutumua kwa Dom..
Mradi wa Ujenzi wa nyumba 5,000 Nchi Samia Housing Scheme ya NHC iko kama ifuatavyo,
Dar 50% ,Dom 20% na Mwanza iko kwenye mengineyo πππππ
kutoka mwanza mjini had kisesa ni km 20 lakin angalia watu wanavyojenga majumba sasa Dodoma km 20 si ni mapolini kabisa na kutoka Dodoma mjini had nala mizani ni km 10 lakin kutoka mwanza mjini had nyegezi stand ni km 10 watu wa Dodoma mmeuona huo utofauti?nala ni vijijin na nyegezi panaonekana ni mjiniKwa mwanza inavyokuwa had waweke mikataba ya ujenzi watu kwa nguvu zao wameshajenga nyumba 5000 mitaa yote ya nyamagana na ilemela
Kwa hiyo Mwanza inakua kuzidi Dodoma si ndio? ππππKwa mwanza inavyokuwa had waweke mikataba ya ujenzi watu kwa nguvu zao wameshajenga nyumba 5000 mitaa yote ya nyamagana na ilemela
Nkonze ni pori la wapi? Wivu π€£π€£Kutoka Dodoma mjini had mkonze ni km 10 na kutoka mwanza mjini had igoma ni km 11 lakin mkonze ni maporin na igoma ni mjin balaa mmeuona huo utofauti na hapo haujafika kisesa
Ina strectch vipi wakati haina wakazi wengi kama Mwanza? Au ina strect mapori?Nkonze ni pori la wapi? Wivu π€£π€£
Dom ime stretch pande nne mbona zote huzileti?
Ndio maana ya kujenga ile Ring Road manake eneo lote hilo ni Jiji harafu wewe unaongea pumba