Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dodoma mji wa kifala yaani hauna mzuka kabisa kigorofa kadhaa pale town eti ni jiji
 
Ina strectch vipi wakati haina wakazi wengi kama Mwanza? Au ina strect mapori?
Wakazi wengi wanatakiwa kuwa wangapi? πŸ˜‚πŸ˜‚..

Baada ya Dar kituo kinachofuata cha BRT ni Dom nyie wengi endeleeni kukua kwenye hizi tembe zenu πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG-20220509-WA0008.jpg
    44.5 KB · Views: 15
Dodoma mji wa kifala yaani hauna mzuka kabisa kigorofa kadhaa pale town eti ni jiji
πŸ˜†πŸ˜†Huu ni wivu,kuna Mwanza tofauti na hii hapa? πŸ‘‡
 

Attachments

  • 1662478635814-01.jpeg
    141.9 KB · Views: 12
  • 1662471232746-01.jpeg
    97.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220908-080558.png
    353.6 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220908-080617.png
    427.6 KB · Views: 11
Nkonze ni pori la wapi? Wivu [emoji1787][emoji1787]

Dom ime stretch pande nne mbona zote huzileti?

Ndio maana ya kujenga ile Ring Road manake eneo lote hilo ni Jiji harafu wewe unaongea pumba
Maskini hajawahi fika hata dodoma ..unaisoma kwenye magazeti...dodoma ni mji mdogo sana ..
Dodoma mjini imeenda about 10 km Kwa pande zote ..
Nala uelekeo wa singida ,mkonze uelekeo wa iringa,nzuguni uelekeo wa morogoro na msalato uelekeo wa arusha ..
.mji wa dodoma unakua maeneo ya kisasa ,mji Mpya,mkonze, nkuhungu na nzuguni . ambako ni just 10 km from town .
 
Wakazi wengi wanatakiwa kuwa wangapi? πŸ˜‚πŸ˜‚..

Baada ya Dar kituo kinachofuata cha BRT ni Dom nyie wengi endeleeni kukua kwenye hizi tembe zenu πŸ‘‡
BRT ni huduma haipelekwi kwa sababu ni Dodoma bali mahitaji ndio uhamua. Serikali makini haiwezi peleka BRT Njombe wakati hamfiki hata laki moja. Kuhusu BRT Mwanza mpaka feasibility study tayari chini ya UN Habitat miaka mingi imepita ndio inakuja kuongelewa Dodoma. https://unhabitat.org/calls/call-fo...eration-partners-for-agreement-of-cooperation Tafuta taarifa wacha upimbi
 
Dodoma imeanza? Bora hata Mwanza feasibility study tayari tunasubiria financer
Next year inaanza Dom,master plan iko zamani sana Mzee ,Dom hakuna cha feasibility kila kitu Kiko tayari kwenye michoro..

Kamati ya Bunge ndio imesema waanze Dom faster plus light rail system..

Hiyo BRT ya kwenye makaratasi na kwenye Mawe na milima ya huko Mwanza nani atafanya kwa cost kubwa kiasi hicho?
 
Fedha hazitoki Njombe Boss
 
Ukweli huwa unauma 😁😁😁😁.

Ukipata Mwanza tofauti na hiyo hapo unitag,tugorofa twa kutafutiza πŸ˜†πŸ˜†..

Iringa ina majengo mengi marefu kuliko Mwanza 🀣🀣
Unaumwa eti iringa!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nasema hivi Iringa ina majengo marefu na mengi kwa Idadi kuliko Mwanza,sasa unabisha au?

Hapo Mwanza hata majengo 8 ya ghorofa 8 and above hakuna.
Unaumwa wewe sio bure wacha kufananisha mwanza na upumbavu hakuna kama mwanza baada ya Dar.
 
Nasema hivi Iringa ina majengo marefu na mengi kwa Idadi kuliko Mwanza,sasa unabisha au?

Hapo Mwanza hata majengo 8 ya ghorofa 8 and above hakuna.
Hapa hakuna mtu, ni chizi mwenye bundle la chuo ghorofa nane nizakuulizia Mwanza? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Kwanza tumuulize amefika lini Mwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…