Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Dodoma mji wa kifala yaani hauna mzuka kabisa kigorofa kadhaa pale town eti ni jijikutoka mwanza mjini had kisesa ni km 20 lakin angalia watu wanavyojenga majumba sasa Dodoma km 20 si ni mapolini kabisa na kutoka Dodoma mjini had nala mizani ni km 10 lakin kutoka mwanza mjini had nyegezi stand ni km 10 watu wa Dodoma mmeuona huo utofauti?nala ni vijijin na nyegezi panaonekana ni mjini