Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wacha Dodoma wajengewe huo uchafu, sasa hivi NHC wanakuja na plan ya kushusha vitu kama hivi kwenye miji mikubwa kupunguza miji kusambaa na kuokoa aridhi, halafu anakuja mtu asiyejielewa anasifia vijumba vya ovyo ovyo kisa vinafanana mabati
 
Miji mikubwa Tanzania ni Dar na Dom ndio maana hao NHC watajenga Dar na Dom πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Soma hiyooπŸ‘‡
 

Attachments

  • 20220910_080928.jpg
    112.8 KB · Views: 11
Kisichoeleweka
You tube inatambua Kwamba Ligi ni Dodoma vs Nairobi sio hizo takataka zinaitwa Mwanza πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Size ya Dom ni Nairobi πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220911-180215.png
    184.4 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220911-180226.png
    182.2 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220911-180205.png
    169.9 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…