Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kama Mwanza hakuna kota ujue hicho ni kijiji cha wavuvi disorganized huge village.
We jamaa ni chizi...jiji linatakiwa liwe na flats [emoji116][emoji116]Sio vikota vyakko
JamiiForums-158471847.jpg
 
Wacha Dodoma wajengewe huo uchafu, sasa hivi NHC wanakuja na plan ya kushusha vitu kama hivi kwenye miji mikubwa kupunguza miji kusambaa na kuokoa aridhi, halafu anakuja mtu asiyejielewa anasifia vijumba vya ovyo ovyo kisa vinafanana mabati
1662907900814.png
 
View attachment 2353705
Miji mikubwa Tanzania ni Dar na Dom ndio maana hao NHC watajenga Dar na Dom 😆😆😆😆
 
I've been in Dodoma kufanya survey, ni mapema sana kulinganisha Dodoma na mwanza

Dodoma ni jiji la mwisho kwa maendelo Tanzania, ila ni la Kati ya majiji 3 yenye fursa za muda mrefu na wakati.

Ili Dodoma iendelee inahitaji political will ya Serikali.
Soma hiyoo👇
 
Attachments

  • 20220910_080928.jpg
    20220910_080928.jpg
    112.8 KB · Views: 11
Kisichoeleweka
You tube inatambua Kwamba Ligi ni Dodoma vs Nairobi sio hizo takataka zinaitwa Mwanza 😆😆😆😆.

Size ya Dom ni Nairobi 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220911-180215.png
    Screenshot_20220911-180215.png
    184.4 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220911-180226.png
    Screenshot_20220911-180226.png
    182.2 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220911-180205.png
    Screenshot_20220911-180205.png
    169.9 KB · Views: 11
Back
Top Bottom