Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

mbona hizo nyumba zipo porini?

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Ukifika hayo maeneo vilipojengwa Hadi unaionea huruma serikali kama itapata wanunuzi ..ni kubaya af kumekauka balaa na ni mbali na mji ..yaani picha zinapendezesha sana ,fika live uzimie....Moja ya miradi iliyokaa kihasara labda wawauzie wastaafu lakin mtu mwenye hela hawezi nunua kotas kama hizo
 
You tube inatambua Kwamba Ligi ni Dodoma vs Nairobi sio hizo takataka zinaitwa Mwanza [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Size ya Dom ni Nairobi [emoji116]
We jamaa shamba eti .YouTube si mtu kama weww tu anaweza kupost ..unatia aibu rafik angu
 
Eti Mwalo wa Mwanza unataka kujitutumua kwa Dom..

Mradi wa Ujenzi wa nyumba 5,000 Nchi Samia Housing Scheme ya NHC iko kama ifuatavyo,

Dar 50% ,Dom 20% na Mwanza iko kwenye mengineyo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
Mwanza ni natural growth kule hakuhitaji kupigwa jeck na serikali .....kule wananchi wanajijengea mji wao....Hizo nyumba wajenge tu huko....Mwanza miaka yote inajipambania yenyewe
 
Mwanza ni natural growth kule hakuhitaji kupigwa jeck na serikali .....kule wananchi wanajijengea mji wao....Hizo nyumba wajenge tu huko....Mwanza miaka yote inajipambania yenyewe
πŸ˜†πŸ˜† Blaa blaa natural growth 😁😁
 
Hivi Dodoma kuna sehemu ya km 14 kutoka mjini iliyochangamka kama buhongwa,igoma na kisesa?
[emoji16][emoji16][emoji16]km 14 tayari nimeshafika kwenye mibuyu huku mbele ya Nala natafuta vijiji vya wilaya ya bahi ,,au Niko mtumba barabara ya Moro ,,au nipo huku porini kwenye njia panda ya kuelekea bihawana . iringa road
 
Wewe acha ujuha,Dom ina nuclear settlement pattern tofauti na Mwanza ambayo iko linear kufuata barabara huku sehemu kubwa ikiwa imezuiwa na maji na mamilima hapo..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji12]piga aerial photography ya dodoma.tuone wapi ni nuclear wapi ni linear
 

Attachments

  • JamiiForums1845795152.jpg
    113.9 KB · Views: 12
  • 1662471232746-01.jpeg
    97.1 KB · Views: 12
  • 1662478635814-01.jpeg
    141.9 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…