Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

mbona hizo nyumba zipo porini?

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Ukifika hayo maeneo vilipojengwa Hadi unaionea huruma serikali kama itapata wanunuzi ..ni kubaya af kumekauka balaa na ni mbali na mji ..yaani picha zinapendezesha sana ,fika live uzimie....Moja ya miradi iliyokaa kihasara labda wawauzie wastaafu lakin mtu mwenye hela hawezi nunua kotas kama hizo
 
Mambo ni yente[emoji95][emoji91][emoji91][emoji116]View attachment 2353856
20220911_205915.jpg
 
Eti Mwalo wa Mwanza unataka kujitutumua kwa Dom..

Mradi wa Ujenzi wa nyumba 5,000 Nchi Samia Housing Scheme ya NHC iko kama ifuatavyo,

Dar 50% ,Dom 20% na Mwanza iko kwenye mengineyo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
Mwanza ni natural growth kule hakuhitaji kupigwa jeck na serikali .....kule wananchi wanajijengea mji wao....Hizo nyumba wajenge tu huko....Mwanza miaka yote inajipambania yenyewe
 
Hivi Dodoma kuna sehemu ya km 14 kutoka mjini iliyochangamka kama buhongwa,igoma na kisesa?
[emoji16][emoji16][emoji16]km 14 tayari nimeshafika kwenye mibuyu huku mbele ya Nala natafuta vijiji vya wilaya ya bahi ,,au Niko mtumba barabara ya Moro ,,au nipo huku porini kwenye njia panda ya kuelekea bihawana . iringa road
 
Wewe acha ujuha,Dom ina nuclear settlement pattern tofauti na Mwanza ambayo iko linear kufuata barabara huku sehemu kubwa ikiwa imezuiwa na maji na mamilima hapo..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji12]piga aerial photography ya dodoma.tuone wapi ni nuclear wapi ni linear
JamiiForums1147271713.jpg
 

Attachments

  • JamiiForums1845795152.jpg
    JamiiForums1845795152.jpg
    113.9 KB · Views: 12
  • 1662471232746-01.jpeg
    1662471232746-01.jpeg
    97.1 KB · Views: 12
  • 1662478635814-01.jpeg
    1662478635814-01.jpeg
    141.9 KB · Views: 11
Back
Top Bottom