Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wale jamaa wa kule mwaloni lazima watanuna..

Real estates Development in the Capital City Dodoma ,private Developers👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220915-224454.png
    92 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220915-224439.png
    97.7 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220915-224349.png
    86.2 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220915-224344.png
    90.3 KB · Views: 12
  • 20220915_224920.jpg
    302 KB · Views: 13
  • 20220915_224835.jpg
    130.7 KB · Views: 12
  • 20220915_224805.jpg
    335.5 KB · Views: 12
  • 20220915_224730.jpg
    279.6 KB · Views: 10
Wale jamaa wa kule mwaloni lazima watanuna..

Real estates Development in the Capital City Dodoma ,private Developers[emoji116]
Moja ya capital city za ajabu na aibu Duniani ...they can't even copy Lilongwe au Bujumbura Burundi ... MWANZA sio size yenu mazee[emoji116]
Hizi sio government funded estate..hiz private owned[emoji116]
 
Uswazi city [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Hizo takataka have no match to the above attached photos
[emoji16][emoji16][emoji14][emoji14] .. pointless remarks ... endelea kuwa balozi wa NHC na vijumba vyako vifupi vya ajabu ,,..na endelea kuwa sales official wa infinity utapata commission Soon .....kaa ukijua dodoma hasn't even a tiny quality to be renamed a capital city .Kwa estates za kizaman namna hyo
[emoji16][emoji16]
Mwanza ni next level [emoji95]
[emoji116][emoji116]
 
Unaharisha upumbavu, uswazi ukikua unakusaidia nini wewe?

Mapato Dom bil.50 Mwanza bil.28 ,hapo anakua nani na kazidiwa nani? [emoji38][emoji38]
Mbona kwenye utajiri hamsogezi pua hata Kwa geita .uje usemee ushuru wa vyoo [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Takwimu sahihi ni hz[emoji116]View attachment 2359071
Takwimu za 2020 Leo tuko 2022..

Huo mwaka wa 2020 Dom ilikuwa haijawapita kwenye Makusanyo ya TRA na Makusanyo ya Halmashauri ilikuwa haijapanua gap mara mbili kama ilivyo sasa..

Saizi mumebakia kujifariji kwa GDP wakati mnaishi uswahilini,sasa kwa taarifa yako by 2025 mtakuwa mumesagwa hata kwenye GDP..

Yaani unakuwa na limkoa Lina watu weeengi ila linachangia kiduchu kwenye Uchumi,zero brain kabisa..

Unfortunately GDP haionyeshi quality of life ndio sababu mnaogelea kwenye Kansa na umaskini huku mnajisufu kwa GDP 😁😁
 
 
Wewe una matatizo ya akili sio bure.Na sijui una umri gani kama ni zaidi ya 20yr basi unahitaji matibabu.
Hivi toka lini Dodoma ikawa na quality life zaidi ya kuombaomba mabarabarani(matonya).Ndo maana serikali inatumie ela zetu kuwajengea vinyumba vya bei nafuu. Wakati matajiri wa Mwanza hawezi kuishi kwenye vijumba vya chini kama vichuguu.
Kwataarifa Mwanza haiwezi shuka nafasi yake ya pili kwa kelele za kinafiki labda ipigwe na bomu la nuclear tofauti na hapo sahau.
Kuwa giant city sio kazi ndogo kiasi hicho lazima watu wake wafanye hasa.
 
Hicho kijamaa kimezoea kukaa vijiweni kubeti na kubishana kuhusu Mabasi.

Ndio maana kinapenda kubishana kuliko kula. Kiko tayari kulinganisha mji wowote na Mwanza ilimradi ubishi tu.
 
Tushakuambia uende shule ujifunze kwanza kabla ya kuja hapa .....
GDP by nominal au PPP ndio vipimo halisi vya uchumi ,,,,,
Vinaangalia uzalishaji wa bidhaa na huduma, matumizi ya pesa ,uwekezaji,na kiwango Cha bidhaa na huduma zinazoingia na kutoka ndani ya eneo husika ...
Kasome uchumi kwanza ....hyo trillion 11 ya mwanza ni thamani ya uwekezaji, mzunguko wa pesa ,na bidhaa na huduma zilizopo mwanza...
Sasa dodoma hyo trillion 4.3 meachwa mbali na geita sasa mwanza mnaifikia Lini[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hicho kijamaa kimezoea kukaa vijiweni kubeti na kubishana kuhusu Mabasi.

Ndio maana kinapenda kubishana kuliko kula. Kiko tayari kulinganisha mji wowote na Mwanza ilimradi ubishi tu.
Yawezakuwa aise eti Mwanza kanalinganisha na Mbeya, kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…