Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

The sunk cost fallacy wewe Huwa sikuelewi itakuwa wanamwanza wameshakutenda
Mtu unashindia sangara walizoziweka kwenye maji ya barafu ya kuoshea maiti utakuwa na akili kweli wewe?

Mbaya zaidi mna shida ya Kansa,hapa tunapoongea unaweza Kuta umetoka hospital kutibiwa mtindio wa ubongo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†..

Ukipona ndio uje tuongee πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20211118-215300.png
    148.9 KB · Views: 9
Uzi ote umebaki mwenyew wenzio wamekimbia coz unaongea kwa mihemko bila fact. Hiyo Dodoma kuifananisha na Mwanza sio leo jengeni kwanza Miyuji
 

Mapato gn ww shoga wa kigogo hv unafikr Dom hakuna nyumba kama za mwanza
 
Uzi ote umebaki mwenyew wenzio wamekimbia coz unaongea kwa mihemko bila fact. Hiyo Dodoma kuifananisha na Mwanza sio leo jengeni kwanza Miyuji
Huyu fala mvuta bangi tu analala stand na hajui anachobishia nia yake ni kutaka kuishusha mwanza sijui ana ujinga Gani kichwani mwake. Bichwa lake limekaa kumdanganya tu sasa anafikiri atatushawishi tukubali. Hili jamaa ni girl friend halina kitu hili
 
Uzi ote umebaki mwenyew wenzio wamekimbia coz unaongea kwa mihemko bila fact. Hiyo Dodoma kuifananisha na Mwanza sio leo jengeni kwanza Miyuji
Wapo na mimi siwezi kukimbia,Niko hapa kuwanyoosha...

Kanda ya Ziwa nzima naikibali Bukoba tuu ndio Mji umekaa na kujengeka kistaarabu.
 
Dom sio slum city kama Mwanza,elewa hilo every development is in order..

Dom inakaliwa na middle income sio maskini na washamba hao ndio huishi hovyo hovyo na sehemu yao ni Mwanza na Kahama.
Figure speak louder than words [emoji16]
 
Unaongea Kwa hisia tu .no fact's
 
Umebakiza nosense attack.no point
 
Jiji zima hakuna slums nyingine?

Naona kila siku ni hizo hizo tu.
🀣🀣🀣🀣🀣 Mwanza ila slums nyingi Sana..baadhi ni hizi hapa

Igogo,
Mabatini,
Kirumba,
Butimba,

Nilijua utalii wa slums hufanyika Kibera Nairobi kumbe hadi Mwanza 😜😜😜 Nimecheka hadi kichwa kimeuma πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220917-212106.png
    176.4 KB · Views: 13
Hamna jiji kubwa lisilo na slums...sifa ya jiji ni kuwa na watu wa Hali zote .ndo maana dar, Nairobi,hata new York Kuna slum.ulivyo lishamba utakataa
 
Dodoma jiji la matajiri .jiji la estate lisilo na slums. Dubai [emoji12][emoji16][emoji16][emoji14][emoji14][emoji14][emoji817][emoji28][emoji28][emoji116][emoji116]
Miji mingine Ni aibu hata kuwaleta wageni wa heshima Toka ughaibuni .ndo maana Samia anaishia dar muda mwingi..it's a shame to have such a dirty and disorganized capital city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…