Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

The sunk cost fallacy wewe Huwa sikuelewi itakuwa wanamwanza wameshakutenda
Mtu unashindia sangara walizoziweka kwenye maji ya barafu ya kuoshea maiti utakuwa na akili kweli wewe?

Mbaya zaidi mna shida ya Kansa,hapa tunapoongea unaweza Kuta umetoka hospital kutibiwa mtindio wa ubongo 😆😆😆😆..

Ukipona ndio uje tuongee 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20211118-215300.png
    Screenshot_20211118-215300.png
    148.9 KB · Views: 9
Mtu unashindia sangara walizoziweka kwenye maji ya barafu ya kuoshea maiti utakuwa na akili kweli wewe?

Mbaya zaidi mna shida ya Kansa,hapa tunapoongea unaweza Kuta umetoka hospital kutibiwa mtindio wa ubongo 😆😆😆😆..

Ukipona ndio uje tuongee 👇
Uzi ote umebaki mwenyew wenzio wamekimbia coz unaongea kwa mihemko bila fact. Hiyo Dodoma kuifananisha na Mwanza sio leo jengeni kwanza Miyuji
 
Huwa hawasemi mema kwa projects zetu. Labda pigeni na projects ambazo ziko proposed ili waone kuwa hata kesho wanayofikiria yatakuwa kigezo Chao kusema miji Yao itakuwa mizuri zaidi kuwa wanajidanganya. Nikihamia hapa nitavuruga acha niwe mtazamaji tu.

Wewe ndio Mjinga,ni Tzn pekee ndio linaloitwa Jiji la pili Kwa ukubwa linaongoza kwa idadi ya maskini, barabara hakuna,full slums na Hilo Hilo Jiji la kipuuzi linazidiwa Mapato nya Jiji..

Sasa Hilo ni Jiji au upuuzi? Wakazi wake hawana vyoo wanakunya ziwani 😁😁
Mapato gn ww shoga wa kigogo hv unafikr Dom hakuna nyumba kama za mwanza
 
Uzi ote umebaki mwenyew wenzio wamekimbia coz unaongea kwa mihemko bila fact. Hiyo Dodoma kuifananisha na Mwanza sio leo jengeni kwanza Miyuji
Huyu fala mvuta bangi tu analala stand na hajui anachobishia nia yake ni kutaka kuishusha mwanza sijui ana ujinga Gani kichwani mwake. Bichwa lake limekaa kumdanganya tu sasa anafikiri atatushawishi tukubali. Hili jamaa ni girl friend halina kitu hili
 
Uzi ote umebaki mwenyew wenzio wamekimbia coz unaongea kwa mihemko bila fact. Hiyo Dodoma kuifananisha na Mwanza sio leo jengeni kwanza Miyuji
Wapo na mimi siwezi kukimbia,Niko hapa kuwanyoosha...

Kanda ya Ziwa nzima naikibali Bukoba tuu ndio Mji umekaa na kujengeka kistaarabu.
 
Dom sio slum city kama Mwanza,elewa hilo every development is in order..

Dom inakaliwa na middle income sio maskini na washamba hao ndio huishi hovyo hovyo na sehemu yao ni Mwanza na Kahama.
Figure speak louder than words [emoji16]
 
Wewe ndio Mjinga,ni Tzn pekee ndio linaloitwa Jiji la pili Kwa ukubwa linaongoza kwa idadi ya maskini, barabara hakuna,full slums na Hilo Hilo Jiji la kipuuzi linazidiwa Mapato nya Jiji..

Sasa Hilo ni Jiji au upuuzi? Wakazi wake hawana vyoo wanakunya ziwani [emoji16][emoji16]
Unaongea Kwa hisia tu .no fact's
 
Mtu unashindia sangara walizoziweka kwenye maji ya barafu ya kuoshea maiti utakuwa na akili kweli wewe?

Mbaya zaidi mna shida ya Kansa,hapa tunapoongea unaweza Kuta umetoka hospital kutibiwa mtindio wa ubongo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]..

Ukipona ndio uje tuongee [emoji116]
Umebakiza nosense attack.no point
 
Jiji zima hakuna slums nyingine?

Naona kila siku ni hizo hizo tu.
🤣🤣🤣🤣🤣 Mwanza ila slums nyingi Sana..baadhi ni hizi hapa

Igogo,
Mabatini,
Kirumba,
Butimba,

Nilijua utalii wa slums hufanyika Kibera Nairobi kumbe hadi Mwanza 😜😜😜 Nimecheka hadi kichwa kimeuma 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220917-212106.png
    Screenshot_20220917-212106.png
    176.4 KB · Views: 13
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwanza ila slums nyingi Sana..baadhi ni hizi hapa

Igogo,
Mabatini,
Kirumba,
Butimba,

Nilijua utalii wa slums hufanyika Kibera Nairobi kumbe hadi Mwanza [emoji12][emoji12][emoji12] Nimecheka hadi kichwa kimeuma [emoji116]
Hamna jiji kubwa lisilo na slums...sifa ya jiji ni kuwa na watu wa Hali zote .ndo maana dar, Nairobi,hata new York Kuna slum.ulivyo lishamba utakataa
 
Dodoma jiji la matajiri .jiji la estate lisilo na slums. Dubai [emoji12][emoji16][emoji16][emoji14][emoji14][emoji14][emoji817][emoji28][emoji28][emoji116][emoji116]
Miji mingine Ni aibu hata kuwaleta wageni wa heshima Toka ughaibuni .ndo maana Samia anaishia dar muda mwingi..it's a shame to have such a dirty and disorganized capital city
images (14).jpg
images (13).jpg
images (12).jpg
images (10).jpg
images (9).jpg
images (11).jpg
project-dossier-tanzania-dodoma-livingstone.jpg
images (8).jpg
 
Back
Top Bottom