The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sasa hapo kuna nini? Hii hapaHii ni mwanza, Leta picha Kama hii hapo dodoma tuone, View attachment 2080478
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo kuna nini? Hii hapaHii ni mwanza, Leta picha Kama hii hapo dodoma tuone, View attachment 2080478
dodoma amna kitu wewe mbona unaifagilia sana? kwa mtu mwenye akili timamu kabisa hawezi ifananisha dodoma na mwanza...dodoma uchafu kabisa huoAcha uongo wakulinganisha manispaa na jiji na mwishowe unajidumaza kwa kukosa exposure tafuta nauli ufike Dom kwanza afu uje ufute comment yako
moro imepitwa na dodoma kweli lakin usifananishe huo uchafu na mwanza .......ukifananisha mwanza na dodoma ni kuikosea heshima sana mwanza.... sababu mwanza ni jiji la pili tanzania hapaKwani uongo mkuu?? Kuanzia miundombinu mpaka majengo moro imepitwa na Udom
Hahaha ona sasa, sasa hiki Kijiji ndo ulikuwa inawapigia watu kelele kwamba kimeizidi Mwanza! Yani unamaanisha Nyamagana na Ilemela hamna kitu kwa hiki Kijiji dah[emoji16]
utafikiri upo jangwani ....mji mkame hatar ombaomba ndio usisemeHali ya hewa Dodoma inakwaza sana...miti ipandwe kwa wingi tena kwa lazima...
yupo sahihi morogoro mji mbovu sana hamna loloteHahahaha hii sio dharau ni dherewiiii
ha ha ha ha ha ha umefika morogoro sehem ganimorogoro hamna mji pale...moro hata kwenye top 10 ya mikoa bomba tanzania hapa haipo, moro ni uchafu mtupu kama lindi tu
kwa iyo omba omba ni ishara ya pesa kuwa nyingi sio umaskini na tabia ya kutokupenda kufanya kazi kweli wagogo mna tabuNI jiji la pesa na matajiri kwa Sasa,so hao lazma wawepo si wanaona wakiingia mtaani wanazikusanya za kutosha!!,ukifika Nairobi au machakosi ombaomba wapo pia kibao,halafu omba omba wa Nairobi ni watata balaa,wanaombaga kwa ubabe utazani zao!! Ukimpa salafu anakuchek na hadhi yako anaweza kukutusi kabisa!!
uyo ana chuki sawa ....ila wewe usie na chuki kwa mtazamo wako unaona dodoma inaweza ikaizidi Mwanza? sababu majini ya kweli hapa bongo ni matatu Dar, Mwanza, Arusha ayo mengine ni siasa tu sababu ukiiangalia vzr dodoma hata haina hadhi ya kuwa jiji lakin bado uyo ndugu yako anataka ety aifananishe na mwanza sasa si ni kuivunjia heshima mwanzaKwhy mji ukijaa omba omba ndio hauna hadhi ya kuwa jiji?? Nitajie Airport Tanzania ambayo hamna boda boda..kimsingi hauna hoja ya maana zaidi ya kuonyesha chuki za wazi tu..
inavyoonekana ndio ntolee manake wameutanua kabisa ile ranwayLakini si ni uwanja wa mda tuu huo
Sunset mwanzaView attachment 2080573
Kijijini cha wavuvi mkifika hapa mnitagHahaha ona sasa, sasa hiki Kijiji ndo ulikuwa inawapigia watu kelele kwamba kimeizidi Mwanza! Yani unamaanisha Nyamagana na Ilemela hamna kitu kwa hiki Kijiji dah[emoji16]
Toa Mwanza na Arusha,weka Dar na Mwanza.uyo ana chuki sawa ....ila wewe usie na chuki kwa mtazamo wako unaona dodoma inaweza ikaizidi Mwanza? sababu majini ya kweli hapa bongo ni matatu Dar, Mwanza, Arusha ayo mengine ni siasa tu sababu ukiiangalia vzr dodoma hata haina hadhi ya kuwa jiji lakin bado uyo ndugu yako anataka ety aifananishe na mwanza sasa si ni kuivunjia heshima mwanza
Ujenzi wa.uwanja mkubwa will take some years sasa Jiji linakua so lazima uimarishe existing Airport kwanza wakati unasubiria kukamilika kwa uwanja mkubwa.inavyoonekana ndio ntolee manake wameutanua kabisa ile ranway
Kwahy wewe kwaakili yako umeona hayo ndio majiji miongoni mwa majiji??uyo ana chuki sawa ....ila wewe usie na chuki kwa mtazamo wako unaona dodoma inaweza ikaizidi Mwanza? sababu majini ya kweli hapa bongo ni matatu Dar, Mwanza, Arusha ayo mengine ni siasa tu sababu ukiiangalia vzr dodoma hata haina hadhi ya kuwa jiji lakin bado uyo ndugu yako anataka ety aifananishe na mwanza sasa si ni kuivunjia heshima mwanza
we jamaa akili yako ndogo sana ......uwe unabisha kwa hoja basi maana unaambiwa mwanza ndio jiji la pili baada ya Dar lakini bado una komaa tu na dodoma yako iyo na hata kiserikali inafahamika iyo kitu we utafananishaje dodoma na mwanza? na watu huo mji tunaujia na mwanza tunaijua pia....hv huoni hata aibu kuifananisha mwanza na dodoma? huo mji ulitakiwa uufananishe na mbeyaSiku zote mtoto uamini mama yake pekee ndo fundi wa mapishi mpaka pale anapokuwa ndo ugundua kumbe kuna wanawake wako vizuri jikoni maza akasome, nikuulize ushawahi kanyaga DOM CBD au unabisha kulingana na ulivyoiaminisha akili yako.
haahaahaa...we jamaa yaan huo uchafu ndio u ataka kufananisha na mwanza