Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Keep left kwa Mwanza ndio mahala pake sema nikutumie keep left za buswelu tu ndio zinapaswa ushindane nazo lkn sio za Mwanza, pili nimeona nabishana na mtu ambaye hajawahi kufika Mwanza, na kama ungekuwa umefika usingeuliza swali la kijinga kama ili.Hapo kwenye Jiji la ukweli la Mwanza nionyeshe keep left japo 3 mimi nakupa baadhi tu za Dom👇
View attachment 2082729
View attachment 2082730
View attachment 2082731
View attachment 2082732
View attachment 2082733
View attachment 2082739